@officialzuchu .. . . .
Staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa 'Rayvanny' amethibitisha kwamba siku sio nyingi atamuoa mpenzi wake wake Fahyma.Kauli hiyo ya kishujaa ameitoa usiku wa kuamkia leo . . .
Nyota wa Afrobeat, Davido amenunua neckless mpya kusherehekea mafanikio ya albamu yake ya Timeless.Pendenti iliyotengenezwa kwa almasi iliundwa na chapa ya kifahari ya Lo . . .
Mnanishauri kitu ? Nikutana nae? Nimfanye nini maana mimi ndio Mtu kanipost mara nyingi na kanizushia sana kuhusu kuchafua hali ya hewa?Au nioe tu na yeye tupate kulea Wa . . .
Nyota huyo wa Hip Hop na R&B mwenye asili ya Canada amehukumiwa kifungo baada ya kupatikana na hatia ya makosa 3 ikiwemo kumpiga Risasi Rapa wa Kike #MeganTheeStallio . . .
Kitu ambacho wengi hawakutegemea ni kumuoa mdogo wake @officialalikiba kwenye video moja na @diamondplatnumz wakiimba ngoma ya SUMU ya @officiala . . .
Mama wa Beyonce, Tina Knowles, amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake wa pili, Richard Lawson, baada ya miaka nane ya ndoa yao.Tina, mwenye umri wa miaka 69, a . . .
Rapa maarufu Bongo, Rosa Ree amesema muziki wake unasafiri na kuwafikia watu ambao yeye binafsi hakutarajia.Staa huyo ambaye kwa sasa analea mtoto wake, amesema alipoenda . . .
HomeTrending GossipMwimbaji Willy Paul atangaza kuachana na Miss PMwimbaji Willy Paul atangaza kuachana na Miss PUdaku Special July 05, 2023recommended byNATURE'S BO . . .
Mkurugenzi mkuu wa lebo ya Next Level Music, Rayvanny amejitokeza waziwazi na kukana kuwa na akaunti yoyote kwenye mtandao wa Facebook, licha ya kuwepo na akaunti yenye j . . .
Rosa Ree ni mmoja kati ya wanamuziki wakubwa wa Hip Hop nchini Tanzania. Hata hivyo, licha ya ufanisi kimuziki, Rosa Ree alipitia changamoto ya afya ya akili baada ya kuj . . .
Mitandao ya kijamii imejawa na msisimko kufuatia madai mapya kuwa mwimbaji wa Nigeria, Davido Adeleke, almaarufu Davido, alimpa ujauzito mfanyabiashara wa Marekani, Anita . . .
Mwimbaji wa mpito wa Kiamerika mwenye asili ya Cameroon Libianca Kenzonkinboum Fonji, maarufu Libianca, alishinda Tuzo yake ya kwanza kabisa ya BET kwa wimbo wake wa kipe . . .
Burna Boy hashikiki amechukua tuzo ya BET usiku wa kuamkia leo kwa mara nyingine kwenye kipengele cha best international act.Kwenye kipengele hicho alikua akishindana na . . .
Akaunti ya YouTube ya msanii @officialalikiba inaonekana kuhakiwa na akunti ya jina likisomeka kampuni ya TESLA. Kupitia akaunti hiyo video zote zimefichwa na zimebaki mb . . .
Beyoncé na Jay-Z waliongoza chati mwishoni mwa wiki-sio kwa kutoa albamu kwa siri au tarehe mpya ya ziara ya ulimwengu ya Queen Bey, lakini kwa habari kwamba wanandoa wa . . .
Mwanamuziki maarufu Nigeria, David Adekele, anayejulikana na wengi kama Davido amesema kwamba anaendelea kumuomboleza mwanawe Ifeanyi Adekele kila siku.Davido alizungumza . . .
MSANII wa Nigeria, Habeeb Okikiola, maarufu kwa jina la Portable, amedai kuwa yeye ni 'mtu anayewajibika' kinyume na wengi wanavyomfikiria. Katika video iliyos . . .
Mkali wa Afrobeats, David Adeleke, almaarufu Davido, amefichua kuwa mtoto wake marehemu, Ifeanyi, ana kaka mdogo anayeitwa Dawson.Mwimbaji huyo alifichua haya katika maho . . .
Mcheshi Eric Omondi amemfurahisha mpenzi wake mjamzito Lynne, kwa kumpa zawadi ya kifahari gari aina ya Mazda SUV kama zawadi ya kumpa motisha wakati wa kujifungua. . . .
Otile Brown na meneja wake Joseph Noriega wameamua rasmi kusitisha makubaliano ya kufanya kazi pamoja, ikiwa ni baada ya ushirikiano mkubwa waliokuwa nao kwa takriban mia . . .
DJ Zinhle hayuko tayari kutembelea Durban hivi karibuni kufuatia kifo cha baba wa mtoto,wake Kiernan Forbes maarufu A.K.A Ikumbukwe kw . . .
Inafahamika kuwa megan Stallion amekuwa katika vichwa vingi vya Habari kufuatia lile Sakata dhidi yake na mwimbaji tory lanez.Fununu zilizosambaa katika mitandao mbali mb . . .
Shaffer smith maarufu kwa jina la neyo ambaye ni msanii wa muziki wa rnb kutoka nchini marekani aliyefanikiwa kwa nafasi yake katika mziki kushinda na kuchaguliwa kuwania . . .
Msanii wa muziki wa hiphop kutoka nchini Tanzania ambaye kwa sasa yupo nchini marekani roma mkatoliki ambaye pia anafanya vizuri na wimbo wake uitwao nipeni maua yangu.Ro . . .
Msanii wa muziki wa hiphop kutoka nchini marekani rick ross ambaye pia ni boss wa maybach music group.Rick ross mwaka jana alifanikiwa kufanya show yake ya kwanza ya maga . . .
Msanii na mwigizaji nick cannon kutoka nchini marekani ambaye mara kadhaa amekuwa akiingia katika vichwa vya Habari kutokana na namna ambavyo amekuwa akipata Watoto na wa . . .
Wapenzi wawili ambao waliwahi kutikisa katika safu ya burudani wakiwa Pamoja shawn mendes Pamoja na mwanadada camia Cabello wameamua kurudi Pamoja na kuangali pale walipo . . .
Wasanii kutoka nchini kenya ambao wamekuwa wakifanya vizuri kwa kipindi kirefu na kwa mara kadhaa wamekuwa wakifanya muziki wao kama kundi n ahata walipofanikiwa kuanza k . . .
Mama mzazi wa msanii wa muziki kutoka nchini Africa ya kusini costa tich ambaye pia alikuwa anawakilisha titch gang aliyefariki mwanzo mwa mwaka huu march 12 huko afrika . . .
Karen mukupa ni msanii wa muziki wa hiphop ,rap na raggae kutoka nchini Denmark ambaye alizaliwa nchini Zambia na kukulia nchini Tanzania mpaka alipofika umri wa miaka 15 . . .
Msanii David Adeleke (Davido) ameeleza kuwa moja kati ya uamuzi bora zaidi kuwahi kuufanya ni kumpata mke wake Chioma.Kupitia mahojiano na kituo cha Redio, Beat 105 . . .
Inadaiwa kuwa Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ali Kamwe na Mrembo Hamisa Mobeto wapo kwenye penzi la moto, hii imekuja baada ya wawili hao kupostiana kwa nyakati tofau . . .