HAILEY BIEBER KWA MARA YA KWANZA AONEKANA HADHARANI BAADA YA KUTANGAZA KUWA NA UJAUZITO

Ikiwa ni siku chache zimepita tangu mlimbwende wa mitindo kutoka nchini marekani hailey Bieber kutangaza kuwa na ujauzito ambao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza na mwanamuziki justin Bieber ambaye ndiye mume wake.

Hailey  ameonekana kwa mara ya kwanza akikatiza mitaa huko mjini los angeles akiwa na justin beiber hailey alikuwa amevalia suti kubwa yenye rangi nyeusi ambayo kimitindo imemfanya aonekane vyema Zaidi akiwa mama kichajo.


 

Hii ni mara ya kwanza tunawaona Hailey na Justin hadharani tangu habari zao kuu wiki iliyopita -- walipofanya upya viapo vyao huko Hawaii na kupiga picha nzima ya uzazi pamoja.

 

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii