50 Cent"Jay Z hawezi kuonekana sasa ana majanga mengi"

Rapa 50 Cent anaendelea kumkandia Jay Z ambaye ni rafiki wa karibu wa P Diddy ambaye kwa sasa anaekabiliwa na mashtaka ya kingono kuhusu unyanyasaji wa kijinsia.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema Jay Z hatotoka nje mpaka matatizo ya P Diddy yatulie kwa kuhofia yanayomsibu msanii huyo.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii