logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Burudani

  • Pata Habari Zote Za Burudani Hapa
news
Top Story
  • Na Asha Business
  • January 10, 2024

Polisi wa Lagos wanaangalia ombi la Tiwa Savage dhidi ya Davido

Jeshi la Polisi la Jimbo la Lagos limethibitisha kupokea ombi la mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria, Tiwa Savage, kuhusu kudhulumiwa na kutishiwa maisha na mteul . . .

news
Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • January 9, 2024

DUA LIPA SIPENDI MTU ANAYEKULA MDOMO WAZI.

Mwanadada ambaye alitamba na wimbo wa new rules dua lipa ambaye amefanikiwa kufanya vizuri na kufikia chati mbali mbali za muziki duniani kwa kazi zake ikiwemo levitate&n . . .

news
Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • January 9, 2024

ZARI THE BOSSLADY NIMEWAHI KULIA MWEZI MZIMA NDANI

Zarinah hassan maarufu kwa jina la zari the bosslady ambaye amekuwa akiingia katika vichwa vya Habari mbali mbali ,zari inafahamika hapa nchini Tanzania amewahi kuwa na m . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 9, 2024

Jay Z "Ni Ubinafsi niki-performe Super Bowl"

Producer na mshirika wa biashara wa Super Bowl halftime shows Shawn Carter Jay Z ‘HOV’ amesema anahisi atakuwa mbinafsi kama akijichagua mwenyewe kuperforme show hiyo . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • January 3, 2024

AYRA STARR NIMEPATA UMAARUFU KWA KUWA MIMI BILA KUIGA

Msanii wa muziki kutoka nchini nigieria ambaye kwa nafasi yake amefanikiwa kufanya vizuri katika majukwaa mbali mbali ya muziki ambayo kwa namna moja ama nyingine yamefan . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • January 3, 2024

MSANII MASAUTI AELEZA SABABU YA KUKATA NYWELE ZAKE SIO MWANAMKE

Msanii wa muziki kutoka nchini kenya masauti ambaye asili yake ni kutoka Mombasa ni moja kati ya msanii ambaye alifahamika Zaidi katika muonekano wa dread ambazo alikuwa . . .

news
Top Story
  • Na Nattyebrandy
  • January 2, 2024

RAPA SNOOP DOGG KUTANGAZA MICHEZO YA OLIMPIKI MWAKA HUU

Mkongwe wa muziki wa hiphop kutoka nchini marekani rapa Snoop Dogg  anaendelea kuongeza nguvu kwenye wasifu wake unaoendelea kukua, akijiunga na utang . . .

news
Top Story
  • Na Nattyebrandy
  • January 2, 2024

BLAC CHYNA AKIRI KUPITIA SHIDA KIAFYA BAADA YA KUFANYA PASUAJI

Angela White, ambaye zamani alikuwa Blac Chyna, anaenda kupata sura mpya ... na anasema kupunguza ukubwa wa vipandikizi vya matiti yake imekuwa mchakato changamoto&n . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • January 2, 2024

Baba Mzazi wa Mwanamuziki Farid Kubanda Afariki Dunia

Mwanamuziki wa Hiphop nchini Fareed Kubanda ‘Fid Q’ amefiwa na baba yake mzazi, Mzee Kubanda.Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram, @therelfidq ameandika “Ni . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • December 7, 2023

P Diddy Atuhumiwa Tena, Yadaiwa Alimbaka Binti wa Miaka 17 Akisaidiana na Mwenzake

Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs maarufu kama Puff au Diddy akawa katika nyakati ngumu kutokana na tuhuma za Unyanyasaji wa Kingono zinazozidi kuibuliwa dhidi yake, lich . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 24, 2023

Mrembo wa Kenya aliyechora tattoo ya Harmonize amfuata Tanzania

Mwanadada mmoja mzaliwa wa Kenya aliyejitabulisha kwa jina Catherine almaarufu 'Kutu' Mkenya, amefunguka wazi na kusimulia upendo wake kwa msanii kutokea Tanzania Harmoni . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 21, 2023

"Siwezi kuhama nyumbani kwa sababu ya Mama" - Abdu

Member wa Kings Music Records Abdukiba amefunguka hawezi kuhama nyumbani kwao kwa sababu ya Mama yao ambaye hayupo tayari kuwaona wakiwa wanaishi tofauti tofauti pia anap . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 17, 2023

Mwimbaji Cassie amshutumu Puff Daddy kwa ubakaji na unyanyasaji

Msanii wa muziki wa rap Sean "Diddy" Combs ametuhumiwa kwa ubakaji na biashara ya ngono na mwimbaji wa kike.Katika kesi iliyoonekana  mpenzi wa zamani Casandra Ventu . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 16, 2023

Aliyekuwa Mke wa Mwanamuziki Chameleone, Ajiweka Sokoni Upya Kupata Mume Mwingine

Mke wa zamani ambaye pia ni Mama watoto wa mwimbaji Jose Chameleone kutoka Uganda, Daniella Atim bado ana matumaini kwamba anaweza kupata mapenzi tena.Daniella Atim kwa m . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 16, 2023

Mr Eazi Aachia Albamu Yake Ya Kwanza, ‘The Evil Genius’ Akiwashirikisha Mastaa Kibao

Mr Eazi ameachia albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la ‘The Evil Genius’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu.Video za albamu hiyo imechukuliwa katika maeneo . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 15, 2023

'Ulikuja hata siku ya kazi', Rema anawashukuru mashabiki wa London baada ya kuuzwa kwa tamasha la 02 Arena

Staa wa Afrobeats wa Nigeria Rema amewashukuru mashabiki wake kwa kuja kumtazama akitumbuiza kwenye onyesho lake la “Ravage Uprising” 02 Arena jijini London siku ya J . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • November 15, 2023

Diamond Platnumz Kutambulisha Msanii Mpya wa WCB

Staa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB Wasafi, Diamond Platnumz ametangaza rasmi kuwa alhamis November 16, 2023 atamtambulisha Mkali mwingine mpya ambaye amemwaga wino . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • November 13, 2023

Kanye West Ahamisha Makazi yake Jangwani Huko Saudi Arabia

Licha ya kucheleweshwa mara kadhaa, Ty Dolla $ign ameahidi mashabiki kwamba albamu yao inakuja hivi karibuni, "Coming Real Soon". Alitoa habari hizi wakati wa show yake, . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 12, 2023

Dereva Aliekua Amembeba Msanii Msanii Chino Kidd afariki Dunia Kwa Ajali

Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Nabeer ambaye alikuwa ni Dereva wa gari lililombeba mwanamuziki @chino_kidd7 na wenzake amefariki duniaNabeel amefariki dunia Alfajir . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 6, 2023

Kauli ya Zuchu Baada ya Walimu Kushushwa Vyeo Kisa Wimbo Wake wa Honey

Msanii Zuchu hatimaye amevunja kimya chake ikiwa ni siku chache tu baada ya walimu wakuu wawili kushushwa vyeo vyao kufuatia klipu ya wanafunzi katika shule zao wakicheza . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 31, 2023

Wasanii wa Afrobeat kwenye matukio makubwa 2023

Wasanii wa Afrobeat kutokea nchini Nigeria mwaka huu 2023 wameshiriki kutoa burudani kwenye matukio mengi makubwa.Burna Boy alifanya show kwenye fainali ya Ligi ya Mabing . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 29, 2023

Tory Lanez Aendelea Kusota Gerezani, Rufaa Yake Yagonga Mwamba

Baada ya ‘timu’ ya wanasheria wa ‘rapa’ Tory Lanez kutoka Canada kupeleka ombi la kumuachia msanii huyo kwa dhamana huku wakisubiri rufaa, ombi hilo limekataliwa. . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • October 27, 2023

Davido anavunja ukimya juu ya madai ya deni ya Dammy Krane

Staa wa muziki ambaye ni mshindi wa tuzo nyingi, Davido, amemjibu msanii mwenzake, Oyindamola Emmanuel, maarufu kwa jina la Dammy Krane kuhusiana na madai ya madeni ambay . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 27, 2023

Chrisean Rock ataka idadi ya watoto 12

Msanii huyo asiyeishiwa vituko anasema kwa sasa ana mtoto mmoja, mwingine yupo njiani kuja na itabaki idadi ya watoto 10 kuwapata.Ikumbukwe mtoto wake huyo mmoja alimpata . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2023

S2Kizzy athibitisha kufanya ngoma na Rihanna "Soon itatoka"

Mtayarishaji wa muziki Bongo, S2Kizzy amethibitisha kufanya kazi na Rihanna na kusema wimbo huo ukiwa tayari watu watausikia.Miezi michache iliyopita, S2kizzy alisema kwa . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 9, 2023

Ed Sheeran ajichimbia kaburi lake la kuzikwa

Muimbaji na mwandishi wa nyimbo Uingereza na duniani Ed Sheeran tayari ameshajichimbia kaburi lake ambalo ikitokea siku amefariki atazikwa hapo.Mshindi huyo wa tuzo 4 za . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 9, 2023

Vita ya maneno, Drake amuumbua Joe Budden

Kuna vita ya maneno inaendela chini kwa chini kati ya Drizzy Drake na rapa wa zamani Joe Budden ambaye ni mtangazaji kwa sasa nchini Marekani.Vita hiyo imeanza baada ya J . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • October 9, 2023

HARMONIZE ASHINDWA KUJIZUIA

. . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 2, 2023

Kauli ya Kanye West akimzodoa Cardi B kisa Nicki

Kanye West 'YE' ambaye kuna clips videos zake zimevuja kupitia Documentary yake ya 2018 akiwazungumzia wasanii Cardi B, Nas, Teyana Taylor na Pusha P.Moja ya clip video i . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 26, 2023

Femi One atoa saa 72 za kuombwa msamaha Tanzania

Msanii wa Kenya Femi One ametoa saa 72 za kuombwa msamaha na rappers wa Tanzania ambao wamemdiss kwenye ngoma zao kupitia Challenge aliyoanzisha rapa Khaligraph baada ya . . .

news
TAMASHA
  • Na Asha Business
  • September 25, 2023

Ramadhani Brothers Kutoka Tanzania Watinga Nusu Fainali American Got Talent, Kuwania Sh Bilion 2.4

Ni baada ya kuvuka Nusu Fainali katika Mashindano hayo ya Kusaka Vipaji ambapo sasa watashindana na The 82nd Airborn Division All American Chorus, Avantgardey, Chibi Unit . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 18, 2023

Kufungwa miaka miwili kwa kujichua ndani ya Ndege

Rapa na muimbaji wa Marekani Desiigner yupo kwenye kifungo cha nje na uangalizi kwa miaka miwili, kufanya kazi za kijamii na kulipa faini ya Tsh Milioni 12,525,000 kwa ko . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • September 13, 2023

Selena Gomez, Rema Waandika Historia Tuzo za VMAs

Wasanii maarufu ambao pia ni wapenzi, Selena Gomez wa Marekani na Rema wa Nigeria wameshinda MTV Video Music Award 2023 (VMAs). Wawili hao walituzwa kwa vifaa vya kumeta . . .

Kurasa 4 ya 12

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Majaliwa na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire Wajadili Ushirikiano wa Kiuchumi na Kilimo

    • 3 masaa yaliopita
  • Rais Maskini Zaidi Duniani Afariki Akiwa na Umri wa Miaka 89

    • 3 masaa yaliopita
  • PAMBA JIJI YAISHUSHA DARAJA KAGERA SUGAR, YANGA KAMA KAWAIDA

    • 24 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode