Msanii Wa Muziki Wa Injili Kutoka Nchini Burundi Ambaye Makazi Yake Ni Nchini Canada Licha Ya Kuhudumu
Katika Shughuli Za Kumtukuza Na Kumuabudu Mungu Amekuwa Akifanya Muziki Kwa Muda Mrefu Na Sasa
Ameamua Kuja Kivingine Tena.
Innocent Ameachia Kazi Yake Mpya Akiwa Amemshirikisha Nguli Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Nchini Tanzania
Bahati Bukuku Ambaye Amebariki Kazi Hiyo Iliyopewa Jina La Hallelujah .
Wimbo Huu Umerekodiwa Nchi Mbili Tofauti Yaani Tanzania Na Canada Kwa Upande Wa Audio Pamoja Na Video
Na Mpaka Sasa Unapatikana Katika Mitandao Yote Na Vyanzo Vyote Vya Kupakua Muziki Ikiwemo Youtube.