Mwanamuziki mahiri kutoka nchini kenya ambaye pia amefanikiwa kufanya mambo mbali mbali na kundi la muziki la sauti sol bien aime ambye pia amepata mafanikio ndani nan je . . .
Mwimbaji nyota wa Nigeria, Burna Boy amesema hataki kuwa na watoto kwa sasa kwa sababu wakati huuhawezi kutoa mapenzi aliyoyapata kutoka kwa wazazi wake. Akizungumza . . .
Mwimbaji Olivia Rodrigo alikumbwa na hitilafu kubwa wakati wa tamasha lake la hivi majuzi nchini U.K. alipokuwa akitumbuiza mbele ya maelfu ya mashabiki jijini . . .
Rapa 50 Cent anaendelea kumkandia Jay Z ambaye ni rafiki wa karibu wa P Diddy ambaye kwa sasa anaekabiliwa na mashtaka ya kingono kuhusu unyanyasaji wa kijinsia.Kupitia u . . .
Huko Beverly Hills Jumanne hii Jeniffer lopez alionekana akiandamana na mwanamke ambaye anaonekana kuwa Rafiki wa muda mrefu, Elaine Goldsmith-Thomas, ambaye w . . .
Kutoka kushinda tuzo Kadhaa, Kutajwa katika Tuzo za Tanzania Music Awards TMA 2022, Tuzo za Kimaraifa Zikomo Awards 2023 Toka Nchini Zambia.Hadi kutajwa kwenye orod . . .
Ikiwa ni siku chache zimepita tangu mlimbwende wa mitindo kutoka nchini marekani hailey Bieber kutangaza kuwa na ujauzito ambao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza na . . .
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumza namna Komasava ya Diamond na Hakuna Matata ya Marioo zinaisumbua Afrika.Amesema kuwa . . .
Mask Queen DJ Bella, mvunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa mbio ndefu zaidi za tamasha la moja kwa moja, ametangaza mipango ya kutengeneza wimbo mkali utakaowashirikisha . . .
Mchekeshaji aliyegeuka kuwa mwanaharakati Eric Omondi ana shughuli nyingi kusaidia Wakenya walioathiriwa na mafuriko kupitia mpango wake wa 'Sisi Kwa Sisi'. Omondi a . . .
Britney Spears anahitaji usaidizi mkubwa kwa sasa -- na jibu linaweza kuwa katika uhifadhi mpya na dawa ... ndivyo asemavyo Dk. Charles Sophy.Kwa mujibu wa cha . . .
Headlines za Hitmaker wa ‘’Calm Down” Rema akisema sasa hivi Muziki wa Africa hauna tena ile ‘Big Three’ (Burna Boy, Davido na Wizkid) bali kuna ‘Big Four’ . . .
Wanamuziki kutoka nchini Nigeria, Davido pamoja na Wizkid wapo katika bifu zito, baada ya shabiki wa Wizkid katika mtandao wa X (zamani Twitter) kumuomba msanii huyo atoe . . .
Haijulikani ni nini Justin Bieber alikuwa anakipitia lakini siku ya jumapili amezua gumzo katika mtandao wa Instagram baada Justin Bieber kuweka picha yake akitokwa na ma . . .
Akosa watu kwenye show yake bila matumaini viti vitupu.klipu mpya inazunguka kwenye mitandao ya kijamii ya umati wa watu kwenye tamasha la Quavo. Umati wa watu unaonekana . . .
DEBLINKZ ni wasanii wawili walioamua kuungana Pamoja na kutengeneza kundi la muziki kutoka nchini Nigeria Wakiwa wanafahamika kwa majina halisi kama Onyeka . . .
Wasanii wa kike wenye wafuasi wengi zaidi barani Afrika kwenye mtandao wa YouTube.1. Sherine - milioni 5.232. Zina Daoudia - milioni 3.633. Zuchu - milioni 3.234. Tyla - . . .
Baraza la Sanaa la Taifa – BASATA, limesitisha rasmi shughuli za Sanaa, sherehe na burudani katika kumbi 504 za Tanzania Bara ambazo hazikutimiza agizo la uhuishaji wa . . .
MSANII yeyote wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayetaka kuenda kupiga shoo au kufanya kazi ya sanaa nchini Tanzania sasa atatakiwa kulipa Tsh300,000 (Sh15,000) kupat . . .
Baada ya Superstar wa muziki Africa Wizkid kukataa kutambulika kama msanii wa Afrobeat Davido ameibuka kusema Afrobeats hutumika kuelezea muziki uliotengenezwa . . .
Msanii wa Marekani Sean Combs, maarufu kama P Diddy ameshtakiwa na mtayarishaji wa muziki ambaye anamtuhumu kwa kumshambulia kijinsia na kumlazimisha kufanya ngono na mak . . .
Hawa ni baadhi ya watu maarufu duniani ambao hawapo katika mitandao ya kijamii ikiwemo Instgram na X zamani (Twitter) licha ya umaarufu na nguvu kubwa ya ushawishi waliyo . . .
Msanii wa kizazi kipya Vanilla Music,Amepiga stori na BfortyFive kwenye #BLACKbox Ameelezea kiu yake yakutamani kufanya kazi na Dizasita Vina kutokana na Aina yake ya Utu . . .
MWANAMUZIKI wa mtindo wa Africapopster Nadia Mukami amejitokeza kulaumu Chama cha Hakimiliki za Muziki Nchini (MCSK) kwa kukosa kumpa pesa z . . .
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Wasanii wa sarakasi kutoka Tanzania Ibrahim na Fadhili Ramadhan wanaounda kundi la The Ramadhan Brothers ambao wame . . .
Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa, Usher Raymond alilipwa ($671) sawa na TSh. Milioni 1.7 kutumbuiza kwenye Halftime ya Super Bowl, Jumapili tarehe 11. Kikawaida NFL huwa haw . . .
. . .
Meek Mill amewauliza swali lingine mashabiki wake kuhusu Afrika, lakini safari hii ni kuhusu wasanii gani kutoka bara hilo anatakiwa kufanya nao kolabo. Akitumia Twitter/ . . .
Mwimbaji wa muziki kutoka nchini marekani dua lipa inawezekana rasmi amezama katika mahaba na mwigizaji kutoka nchini uingereza ambaye anafahamika kwa jina la callum turn . . .
Dar es Salaam 14 Januari 2024: Shindano la kumsaka Miss University mwaka huu lililofanyika Ukumbi wa Mirado uliopo Sinza Dar usiku wa kuamkia jana (Jumapili) limetajwa ku . . .
Takriban Wahamiaji wasiopunguwa 6,618 walikufa au kutoweka wakijaribu kuingia Uhispania kupitia njia ya bahari mwaka 2023.Shirika la kutetea haki za Wahamiaji Nchini Hipa . . .
Mwanadada selena Gomez ambaye ni mwimbaji kutoka nchini marekani amekuwa akiandika vichwa vingi vya Habari katika matukio mbali mbali lakini karibuni alifunga midomo ya w . . .
IKiwa ni siku chache tangu mwimbaji kutoka nchini Nigeria atangaze kumchukulia rb msanii mwenzake ambaye ni davido kufatia vitisho ambavyo amekuwa akikutana navyo na kuwe . . .