Mama Wa Msanii Carina Afariki Dunia

Habari mbaya za kusikitisha zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mama wa msanii Hawa Hussen almaarufu Carina, Fatma Maruzuku amefariki dunia.

Mama Carina amefariki yapata siku arobaini tangu alipofariki mwanaye Carina.

Habari za kifo cha mama wa Carina zimethibitisha na mmoja wa wanafamilia

Mama Carina alikuwa anasumbliwa na presha na kisukari na hakuweza hata kushiriki arobaini ya mwanaye wiki iliyopita.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii