Huko Beverly Hills Jumanne hii Jeniffer lopez alionekana akiandamana na mwanamke ambaye anaonekana kuwa Rafiki wa muda mrefu, Elaine Goldsmith-Thomas, ambaye walionekana wakikagua katika nyumba ya kifahari jambo ambalo lilishtua pasipo kuonekana kwa ben afleck.
Huenda kulikuwa na wengine kwenye ziara hiyo lakini kama thali ilivyo kwa sasa, mume wa J Lo hapatikani popote. Ni nini pia haijulikani.
Kama tulivyoripoti ... baada ya muda mwingi wa migongano ya hap ana pale ya wanandoa hawa hatimaye jumba lao la dola $ 60 milioni walihama mei mwaka jana na kuna magari yalionekana kupita hapo na mpaka sasa bado kuna sintofahamu juu yao.