VANILLA MUSIC NA TAMANI SANA KUFANYA KAZI NA DIZASITA VINA

Msanii wa kizazi kipya Vanilla Music,Amepiga stori na BfortyFive kwenye #BLACKbox Ameelezea kiu yake yakutamani kufanya kazi na Dizasita Vina kutokana na Aina yake ya Utunzi,Pia Amesikika P mawenge ametupa stori ambayo hatukua tunaijua juu ya Ngoma yake ya Run DSM aliyomshirikisha Dully sykes na Young killer yeye ndo wa kwanza au wa pili kutumia camera aina ya Red hapa nchini

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii