Alikiba amchukua mfanyakazi wa Wasafi Media

Alikiba ameandika kuwa “HANS! @hansrafael14 Mimi ni miongoni mwa Mashabiki wa kazi yako, namna unavyochambua Football na kuufanya uonekane mchezo wa kimahesabu.


unanikumbusha enzi zangu wakati nakipiga pale Coastal
Union. Nilikuwa mtu Mnyama sana.

Leo nina furaha Sana, nakuwa zaidi ya shabiki yako baada ya kungana na kufika Nyumbani CROWN MEDIA. Karibu tuwahudumie na kuwapa furaha Wapenda Michezo.
Karibu sana MTAALAM y @hansrafael14 Kwenye Chama la KIMKAKATI 92.1

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii