JUSTIN BIEBER AZUA GUMZO BAADA YA KUWEKA PICHA MTANDAONI AKIWA ANALIA NA MKEWE KUMSIFIA ANALIA VIZURI.

Haijulikani ni nini Justin Bieber alikuwa anakipitia lakini siku ya jumapili amezua gumzo katika mtandao wa Instagram baada Justin Bieber kuweka picha yake akitokwa na machozi kwenye ukurasa wake wa Instagram, Jumapili, na kuzua maswali kutoka kwa mashabiki.


 Lakini kilichonchanganya Zaidi watu katika mtandao wa kijamii ni baada ya Mkewe, Hailey Bieber, kujibu katika  picha hiyo katika sehemu ya maoni kwa kumwita "mlio mzuri." Justin hakuongeza nukuu kwenye chapisho hilo ambalo lilikuwa na picha kadhaa ambazo hazihusiani, kwa hivyo haijulikani ni nini kilimkasirisha

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii