Baada ya Superstar wa muziki Africa Wizkid kukataa kutambulika kama msanii wa Afrobeat Davido ameibuka kusema Afrobeats hutumika kuelezea muziki uliotengenezwa na msanii wa Africa.
"Afrobeats hutumika kuelezea muziki uliotengenezwa na msanii wa Kiafrika" - anasema Davido
Wizkid anadai haina maana yeye kutambulika kama msanii wa Afrobeats pekee kwa sababu anafanya muziki wa aina nyingi pia ni msanii kuliko kitu kingine chochote na sanaa ni ya ukweli.