BIEN :WAKENYA MIMI SITAKI PRESHA MSINITEGEMEE KWENYE MUZIKI

Mwanamuziki mahiri kutoka nchini kenya ambaye pia amefanikiwa kufanya mambo mbali mbali na kundi la muziki la sauti sol bien aime ambye pia amepata mafanikio ndani nan je ya kundi.

 

Mara kadhaa mijadala mbali mbali imekuwa ikizuka kuhasa wasanii wa kenya kufanya vyema ziadi ili waweze kufanikiwa kimataifa sasa kwa mara nyingine bien ameonekana akichoshwa na anaina hiyo ya maswali.

Na hivi karibuni akiwa katika mahojiano na chanzo cha Habari cha spm buzz kule nchini kenya aliulizwa kuhusu mipango yake ya kuendelea kusukuma gurudumu la muziki kenya kimataifa na alijibu”kwa sasa msnitegemee mimi sitaki presha kazi yangu ni kufanya muziki tu kwa hiyo nitaendelea kufanya muziki hata kama hautafika kimataifa nitaendelea kufanya muziki”

Alisema bien ambaye anaamini Zaidi katika talanta na kufikisha ujumbe sehemu husika.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii