Drake Aliwa Bilioni 1.4 Kisa Kumbetia Tyson Fury

Rapa Drake amepata hasara ya Dollar laki 565 sawa na tsh bilioni 1.4 mara baada ya kuliwa kwenye kamari aliyocheza usiku wa kuamkia jumapili.


Kamari hiyo Drake alicheza katika pambano la masumbwi kati ya bondia wa Uingereza Tyson Fury (35) kachapika na kupoteza pambano lake la kwanza katika historia yake ya ngumi dhidi ya bondia wa Ukraine Oleksandr Usyk Usiku wa leo Mei 19,2024 lilifanyika nchini Saudi Arabia.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii