logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Michezo

  • Pata Habari za Michezo Kwa Undani
news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 15, 2023

Klopp aitema mazima Ujerumani

Wakala wa Kocha Mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp, Marc Kosicke amesisitiza kuwa kuwa mteja wake hataweza kuifundisha timu ya taifa ya Ujerumani licha ya jina lake kuwa mion . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 14, 2023

AFCON 2023: Wapinzani wa Stars kujulikana Oktoba 12

Baada ya timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars’ kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2023), sasa inasubiri kuona itakuwa kundi gani na nani ikipangwa nazo kwa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 14, 2023

Ally Kamwe "Hatuna tatizo na Al Merreikh"

Kikosi cha Young Africans kinatarajia kuondoka nchini leo Alhamis (Septemba 14) kuelekea Rwanda kwa ajili ya kuwafuata Al Merrikh kutoka Sudan katika mechi ya kwanza ya h . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 12, 2023

Paul Pogba Asimamishwa Kucheza Soka, Kisa Matumizi ya Dawa za Kuongeza Nguvu

Kiungo wa Juventus, Mfaransa Paul Pogba, amesimamishwa kwa muda kucheza Soka, kutokana na kukutwa na hatia ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ambazo zimezuiliwa michez . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 8, 2023

Haaland kuweka rekodi Premier League

Uongozi wa Klabu Bingwa nchini England ‘Manchester City’, una mpango wa kumpatia ofa mpya staa wake, Erling Haaland ya mshahara wa pauni 600,000 kwa juma.Imeelezwa ku . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 6, 2023

Mbappe arudisha imani kwa mashabiki

Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint- Germain Kylian Mbappe amesifiwa na mashabiki wa klabu hiyo kutokana na kiwango bora anachoendelea kuonyesha. . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • September 1, 2023

Chelsea wang’oa kifaa Man City, United waimarisha ukutu

Chelsea imethibitisha kumsajili mchezaji, Cole Palmer kutokea Manchester City.Kiungo huyo Mshambuliaji amejiunga na The Blues kwa dau la paundi milioni 42.5 kwa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 1, 2023

UEFA 2022/23: Guardiola Kocha Bora, Haaland Mchezaji Bora

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameshinda tuzo ya Kocha bora kwa timu za Wanaume kwa msimu uliopita baada ya kuiwezesha timu yake kutwaa UbingwaAidha, Mshambuliaj . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 31, 2023

Mama Mzazi Wa Rais Wa Shirikisho La Soka La Hispania Alazwa, Agoma Kula

Mama Mzazi wa Rais wa Shirikisho la soka la Hispania Luis Rubiales amelazwa baada ya hali yake kubadilika wakati akiwa kwenye mgomo wa kula kufuatia tuhuma za â . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 30, 2023

Eden Hazard azikataa Saudi Arabia, Marekani

Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ubelgiji Eden Hazard amepanga kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 32, huku ikidaiwa amegomea ofa kibao za kwenda kucheza soka nchini Sa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 30, 2023

Singida Fountain Gate Yaachana na Kocha Mkuu Hans van der Pluijm

Singida Fountain Gate imeachana na Kocha Mkuu Hans van der Pluijm raia wa kwa Uholanzi ambaye aliongeza mkataba mpya ikimaanisha mwaka mmoja alipomaliza Juni 30.Taarifa i . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 29, 2023

Taifa Stars hesabu kali kufuzu AFCON

Septemba 7-2023 Tanzania watakuwa na mchezo wa kufu kombe la mataifa ya Afrika dhidi ya Algeria (ugenini).kimahesabu Tanzania anahitaji alama moja tu ili afuzu fainali hi . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • August 27, 2023

Wafanyakazi 11 Wa Soka La Hispania Wajiuzulu Kufuatia Sakata La Busu

Wafanyakazi 11 katika soka la Hispania wamejiuzulu kufuatia sakata la busu lililotokea katika sherehe za Kombe la Dunia la Wanawake huko Sydney, Australia.Kati ya walioji . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 27, 2023

FIFA Yamsimamisha Kwa Muda Rais Wa Shirikisho La Soka La Uhispania

Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka duniani (FIFA) imemsimamisha kwa muda mkuu wa shirikisho la soka la Uhispania Luis Rubiales kwa siku 90, FIFA imesema Jumamosi ya . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 23, 2023

Kocha mpya Ivory Coast

Nahodha na Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast Didier Drogba ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa hilo kwa mkataba wa miaka minne.Hii ni mara y . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 22, 2023

Rais RFEF apangua uzushi wa mitandaoni

Rais wa Shirikisho la Soka nchini Hispania ‘RFEF’ amejibu mapigo juu ya kushutumiwa kumbusu mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake iliyotwaa Kombe la Dunia kwa ushindi . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 22, 2023

Ben Foster ajiweka pembeni

Hatimaye Mlinda Lango wa zamani wa Ligi Kuu England, Ben Foster ametangaza kustaafu soka.Mchezaji huyo mwenye miaka 40, alishatangaza kustaafu Septemba mwaka jana baada y . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 18, 2023

TEF yataka kanuni za Habari zikamilike Oktoba

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania  TEF, Deodatus Balile amesema, wadau wa habari wangependa ukamilifu wa uundwaji wa kanuni za habari usivuke mwezi Oktoba 20 . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 18, 2023

Chelsea wamemsajili Romeo Lavia kutoka Southampton

Chelsea imetangaza kumsajili kiungo, Romeo Lavia kutoka Southampton kwa mkataba wa awali wenye thamani ya pauni milioni 53 pamoja na nyongeza za pauni milioni 5.Mchezaji . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 16, 2023

Maguire aigomea Manchester United

Beki kutoka nchini England Harry Maguire ameuvimbia Uongozi wa  Manchester United akitaka alipwe Pauni 15 Milioni kwanza, kabla ya kukubali kwenda kujiunga na West H . . .

news
Masumbwi
  • Na Asha Business
  • August 15, 2023

Rais wa Ngumi Tanzania Atoa Ufafanuzi 'Mandonga Hajafungiwa Kucheza Ngumi'

Rais wa Kamisheni inayosimamia ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) Chaulembo Palasa amesema kuwa Bondia Mtanzania Karim Mandonga hajafungiwa kama inavyoripotiwa na baadhi y . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 15, 2023

Yacouba Sogne aiaga Ihefu

Kiungo Mshambuliaji kutoka Burkina Faso Yacouba Songne ameaga rasmi Ihefu SC, baada ya kukamilisha mpango wa kusajiliwa na Arta Solar 7 ya Djibout.Yacouba alijiunga Ihefu . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 15, 2023

Neymar kujimwambafai Saudi Arabia

Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Brazil Neymar da Silva Santos Júnior ameamua kuachana na maisha jijini Paris, Ufaransa na kutimkia zake Saudia Arabia ambako anakwenda . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 14, 2023

Real Madrid wamemsajili Kipa kwa mkopo kutoka Chelsea

Real Madrid wamekamilisha usajili wa Kipa Arrizabalaga kwa mkopo wa msimu mzima kutoka Chelsea.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alikosekana uwanjani wakati Chelsea i . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 11, 2023

Yanga na Simba Kukutana Jumapili, Hakika Patachimbika Tanga

Mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Singida umemalizika kwa dakika 0-0.Hivyo changamoto ya mikwaju ya penati ikatumika kuamua mshind . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 9, 2023

Maguire amegoma Man Utd

Beki wa Manchester United, Harry Maguire, huenda akaendelea kusalia kwenye viunga vya Manchester United, kufuatia kukataa kujiunga na timu ambayo haitoshiriki Ligi ya Mab . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 7, 2023

Andre Onana akubali kukosolewa Man Utd

Mlinda Lango kutoka nchini Cameroon Andre Onana amekubali kukosolewa na mashabiki baada ya kuruhusu bao lake la kwanza Old Trafford kwenye mchezo wa mwisho wa kujiandaa n . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 7, 2023

Kocha Robertinho Hana Cha Kujitetea Mwaka Huu, Apewa Kila Kitu Simba Kinachohitajika Kwa Timu Kubwa

Robertinho and his technical team don’t have any excuses this season.1. Apart from goalkeeper, he has all the players wanted.2. Did his own pre season with the squad.3. . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • August 3, 2023

Nigeria, Afrika Kusini na Jamaica zaandika historia katika kombe la Dunia la wanawake

Timu hizi zimefanikiwa kuingia raundi ya 16 ikiwa ni  kwa mara ya kwanza kwa Afrika Kusini na mara tatu kw Nigeria huku pia timu ya Afrika Kusini ikiandika historia . . .

news
Marathoni
  • Na Asha Business
  • August 3, 2023

Serikali Somalia yaomba radhi kwa kupeleka mkimbiaji 'anayekimbia taratibu' kwenye mbio za kimataifa

Waziri wa michezo wa Somalia ameomba radhi baada ya mshiriki mwanamke katika mbio za kimataifa za mita 100 kuonekana akikimbia taratibu kiasi kwamba watu wanahoji aliweza . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 2, 2023

Al-Hilal kutibua dili la Sofyan Amrabat

Pamoja na Klabu ya Manchester United kuonekana ipo kwenye hatua nzuri kuipata huduma ya kiungo wa Fiorentina, Sofyan Amrabat, taarifa zinadai dili hilo huenda likapinduka . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 2, 2023

Uwanja wa Dodoma mbioni kujengwa

Serikali imewatoa hofu watanzania na kusema inaendelea na mchakato wa kumpata mkandarasi wa kuanza ujenzi wa Uwanja wa kimataifa mkoani Dodoma.Pamoja na uwanja wa Dodoma, . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 1, 2023

Yanga Watoa Ufafanuzi Mchezaji Bigirimana Kuonekana Kambini Avic "Kaja Kupiga tu Mazoezi"

Uongozi wa Yanga umeelezea sababu ya aliyekuwa nyota wao Gael Bigirimana kuonekana kambini Avic Town ni kusalimiana na wenzake.Akizungumzia ishu hiyo leo Agosti Mosi, 202 . . .

Kurasa 7 ya 21

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Rais Samia Aongoza Taifa Kuaga Mwili wa Mzee Cleopa Msuya

    • 8 masaa yaliopita
  • Charles Hillary, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Afariki Dunia

    • 8 masaa yaliopita
  • Kwa mala ya kwanza Papa Leo XIV akiwa PAPA, aongoza misa akisema; "Kanisa linaweza kusaidia Dunia"

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode