Hersi Said Apewa TUZO Kwa Mchango Wake wa Kuunganisha Vilabu Afrika

RAIS wa Klabu ya Yanga Sc na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Afrika [ACA), Eng. Hersi Said (@caamil_88) amepata tuzo kutoka World Football Summit [WFS], ya kuthamini mchango wake wa kuunganisha Vilabu vya Soka Afrika.


Tuzo hii imetolewa kwenye mkutano wa WFS, uliofanyika kwenye Jiji la Rabat, Nchini Morocco.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii