Aziz K Ashikilia Namba 4 Kwa Wachezaji Wazawa wa Ndani Afrika wanaolipwa Mkwanja Mrefu

Kupitia kwenye Jarida la Africa Facts Zone limetoa orodha ya Wachezaji wanaolipwa mkunjwa mrefu zaidi kwa mwaka kwa wachezaji wanaochezea soka la ndani ya Afrika.

Katika Orodha hiyo Mchezaji anayeongoza ni Raia wa Misri anayechezea klabu ya Al ahly Ali Maaloul ambaye ni beki wa Kushotoa akilipwa dola milioni 1.5 ambayo ni zaidi ya Tsh bilioni 3 kwa Mwaka.

Aziz Ki kutoka klabu ya Yanga yupo nafasi ya Nne akilipwa dola laki mbili na elfu Arobani ambayo ni zaidi ya milioni 640 kwa Mwaka akiwa Yanga.

Mshahara huo kwa mwaka maana yake kwa mwezi analipwa dole Elfu Ishirini ambayo ni sawa milioni 53 za Kitanzania kwa mmoja.

Kwa maana hiyo Aziz Ki ndio mchezaji anayeongoza kulipwa mkwanja Mrefu zaidi Afrika Mashariki na Kati.

Mukwala wa Simba nafasi ya 6 akilipwa dola $108,000 ambayo ni zaidi ya milioni 288 za Kitanzania na kwa Mwezi analipwa dola 9,000 zaidi ya Tsh milioni 24 kwa Mwezi Simba.

Orodha hiyo hii hapa chini.

Highest Paid Players in African Leagues Annually -

1. Egypt - Ali Maaloul | $1.5 million | Al Ahly

2. South Africa - Ronwen Williams >= | $320,000 | Mamelodi Sundowns

3. Angola - Tiago Azulão | $263,000 | Petro de Luanda

4. Tanzania - Young Africans SC - Stephane Aziz Ki & $240,000 |

5. Rwanda- APR FC - Richmond Lamptey & | $120,000 /

6. Tanzania Mukwa Simba $108,000

7. . Zimbabwe- Scotland FC - Khama Billiat 1$72,0001

8. Nigeria- Stars • - Sikiru Alimi L | $10,163 | Remo

9. Eswatini - Neliswa Dlamini Nsingizini Hotspurs FC

Kwa Orodha hii unahisi mchezaji gani anashika nafasi ya tatu kutoka Tanzania baada ya Aziz Ki??

Swipe kuiona Orodha Yote.

Imeandikwa na @el_mando_tz

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii