Kutokana na mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Simba Sc Vs Rs Berkans, CAF wahimiza mchezo huo kuchezewa katika uwanja wa New Amani Zanzibar kwa sababu mbalimbali za kiufundi.
Mchezo wa finali ya kwanza umefanyika nchini Morocco ambapo Simba ilikubali kichapo cha bao 2 - 0 ikiwa ugenini na finali ya pili itafuata huku Simba Sc akiwa mwenyeji wa mchezo huo.
Hivyo Watanzania na mashabiki wa timu ya simba waombwa kujitokeza kwa wingi zaidi kutazama mtanange huo utakao chezwa may 25 majira ya saa 15: 00 jioni