Klabu ya AmaZulu FC ya Afrika Kusini imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa kutoka DRC, Jean Baleke!
Mchezaji huyo amesaini mkataba rasmi baada ya kusafiri hadi Afrika Kusini kukamilisha makubaliano.
AmaZulu wanajiongezea nguvu kwenye safu ya ushambuliaji!