Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amewatoa hofu mashabiki wa klabu ya Simba kuwa kiungo wao Ellie Mpanzu yupo bado msimbazi kwa msimu mmoja na nusu zaidi.
" Niatoe hofu wana Simba, mpanzu ni mali yetu, ana mkataba wa miaka miwili, hadi hivi sasa ameshatumikia miezi minne, bado msimu mmoja na nusu."
- Ahmed Ally, Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba.