Mshambuliaji Marcus Rashford akubali kupunguziwa mshahara wake ili kupewa fursa ya kuhama Manchester United kwenda Barcelona,
Mshambulizi wa Manchester United na Muingereza Marcus Rashford (27), ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo Aston Villa, yupo tayari kupunguziwa mshahara wake ili kuhamia Barcelona msimu ujao
Ifahamike pia Barcelona wanataka kumchukua Rashford kwa mkopo kutoka Manchester United kwa mara ya kwanza lakini wakiwa na malengo ya kumnunua mcheza huyo.
Zaidi tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii Instagram / facebook / X, zamani twitter / Youtube kwa jina moja tu la @jembefmtz ili kupata taarifa mbali mbali