Majaji saba wa Mahakama ya Upeo wanakabiliwa na kibarua kigumu cha kutambua ukweli ulipo kwenye rundo la maelfu ya nakala za ushahidi ambao umewasilishwa mbele yao na wahusika kwenye kesi ya kupinga m . . .
Shughuli ya upigaji kura kuchagua gavana katika Kaunti ya Mombasa na Kakamega inaendelea.Vituo vilifunguliwa mapema Jumatatu, wakazi katika kaunti hizo wakijitokeza kurusha kura.Kaunti hizo uchaguzi k . . .
Uchaguzi wa Ugavana katika mji wa pwani ya Kenya wa Mombasa utafanyika Jumatatu ya Agosti 29. Kampeni za uchaguzi huo uliyoahirishwa mara mbili zinafikia tamati leo. Ushindani mkali katika nafasi hiyo . . .
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitoa matokeo yake ya hivi punde Alhamisi jioni. Tayari wamehesabu 97% ya kura. Kwa mara ya kwanza tangu uhuru, chama cha MPLA kimeshinda kwa kura ndogo.Ilikuwa ni mapema ji . . .
Angola inasubiri kwa hamu matokeo ya uchaguzi ulioshuhudia kinyangan'yiro kikali katika historia yao ya kidemokrasia. Matokeo ya mapema yanaonyesha rais wa sasa Joao Lourenco anaongoza lakini upinzani . . .
Waangola milioni 14 wanafanya Uchaguzi Mkuu Jumatano hii, Agosti 24 kumchagua rais wao mpya na wabunge. Vyama saba vya siasa na muungano vinashiriki kinyang'anyiro hiki. Vita vya kuwania madaraka . . .
Huenda mgombea urais wa muungano wa Azimio Raila Odinga akajipata kwenye hali tata Mahakama ya Upeo ikiamua uchaguzi wa marudio ufanyike ukisimamiwa na mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati.Katika kesi . . .
BARAZA la Vyombo vya Habari Nchini (MCK) sasa linasema kuwa uamuzi wa kusitisha uwasilishaji wa matokeo ya uchaguzi wa urais moja kwa moja ulifikiwa baada ya vyombo vya habari kuonyesha matokeo tofaut . . .
Mwaniaji urais wa muungano wa Azimio Raila Odinga amedai Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka na Rais Mteule William Ruto walikula njama ya “kumpokonya ushindi” kwenye uchaguzi wa Agosti . . .
Nchini Kenya macho yote sasa yanaelekezwa katika mahakama ya Juu zaidi baada ya Odinga kukataa matokeo ya uchaguzi wa urais yaliyompa ushindi makamo rais na rais mteule William Ruto.Odinga amepinga ma . . .
Viongozi wa kijeshi nchini Chad wamepiga marufuku maandamano ya upinzani yaliyopangwa baadaye wiki hii, kwa madai ya kuchelewa kuwasilisha maombi kwa wakati, kulingana na taarifa . . .
Matokeo ya mwisho ya kura ya maoni yenye utata inayoipa mamlaka makubwa ofisi ya Rais wa Tunisia Kais Saied yameonyesha kuwa ni asilimia 94.6 ya kura zilizounga mkono. Tume ya uchaguzi imesema wapiga . . .
Kampeni za uchaguzi wa rais nchini Brazil zinaendelea huku rais wa zamani Luiz Inacio Lula da Silva akiongoza kura za maoni ya umma dhidi ya rais aliyeko madarakani Jair Bolsonaro. Luiz Inacio L . . .
Katibu Mkuu wa Umoja Antonio Guterres Jumanne alizungumza na rais mteule wa Kenya William Ruto kwa njia ya simu, msemaji wa Umoja huo Stephanie Dujarric amesema. . . .
Wakenya kwa siku ya pili leo, bado wanasubiri matokeo ya uchaguzi wa urais, baada ya kupiga kura siku ya Jumanne. Maafisa wa tume huru ya uchaguzi na mipaka ya Kenya IEBC, wameendelea na zoezi la . . .
KINARA wa Azimio Raila Odinga alipata ushindi mkubwa baada ya Mahakama Kuu kuamuru Alhamisi daftari la sajili ya wapiga kura litumike wakati wa uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022.Uamuzi huu umekuwa . . .
Waziri wa mambo ya ndani nchini humo Fred Matiangi ameeleza kwamba wagombea viti vya ubunge wanawahonga wapiga kura walioko vijijini kwa kuwapa hata shilingi 100 pekee kama njia ya kuwashawishi ku . . .
Wanafunzi tisa wa Chuo Kikuu cha Moi nchini Kenya wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma zinazosemekana za kusambaza jumbe za kumchafua mgombea wa urais kwa tiketi ya Kenya Kwanza Naibu Rais William Ruto. . . .
Tume ya uchaguzi ya Pakistan imeamua leo kuwa chama cha Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan kilipokea fedha kwa njia haramu, hatua ambayo inaweza kusababisha nyota huyo wa zamani wa mchezo wa kriketi pam . . .
Raia wa Tunisia Jumatatu wameshiriki kura ya maoni kwa ajili ya katiba mpya iliyohamasishwa na Rais Kais Saied, ambayo ilikosolewa kwa kumpa rais mamlaka makubwa zaidi na kutishia kuweka utawala . . .
Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 zinapoendelea kushika kasi, wake wa vigogo wakuu wa kisiasa pia wamejitokeza kuwasaidia kuvumisha azma zao. Baadhi ya wale ambao wamejitokeza kuwasaidia vigog . . .
Raia wa kigeni ambaye Alhamisi alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) nchini Kenya akiwa na stika za uchaguzi za Tume ya IEBC ameachiliwa kutoka kizuizini.Siku . . .
Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, amepata afueni baada ya Mahakama Kuu ya Mombasa kutupilia mbali ombi lililokuwa likitaka kumfungia nje ya kinyang’anyiro cha ugavana wa Kaunti ya Kilifi kwa . . .
Mgombea urais wa Kenya Kwanza William Ruto amejipata tena pabaya kwa kutoa matamshi yanayodhaniwa kuwa ya kudhalilisha kuhusu Gavana wa Kitui Charity Ngilu.Naibu Rais alikuwa kwenye kampeni katika kau . . .
Chama tawala katika Jamhuri ya Congo kimeripoti kushinda katika uchaguzi wa bunge wa wiki iliyopita.Matokeo ya awali yaliyotangazwa kwenye televisheni ya taifa yanaonyesha chama cha Labour cha Con . . .