Watu 16 wakiwemo wanajeshi tisa walifikishwa mahakamani siku ya Jumatatu nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wakituhumiwa kuuza silaha kwa kundi la wanamgambo huko kaskazini-mashariki m . . .
Mahakama moja ya Morocco Jumatatu imemuhukumu kifungo cha miaka minne jela mwanaharati aliyemtusi Mfalme Mohammed wa sita kwenye mitandao ya kijamii, wakili wake amesema. “Rabie Al Abla . . .
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limesema waumini wa dini na wananchi watashehekea sikukuu ya Eid el-Fitri Mei 2 au Mei 3 kulingana na mwandamo wa mwezi.Katika taarifa yake kwa vyombo vy . . .
Familia ya mlinzi anayedaiwa kuuawa na mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite, Pendael Molllel imeliomba Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina na kuchukua hatua za kisheria kwa wote watakaobain . . .
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issah amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu 8 na 19 kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya Coaster T 287 CCY mali ya kanisa Katholiki Njombe iliyogongana . . .
Wafungwa wawili katika gereza la wanawake pekee wamepata ujauzito baada ya kulala na mfungwa aliyebadili jinsia. Kwa mujibu wa Mirror, wanawake hao ni miongoni mwa watu 800, wakiwemo wanawake 27 walio . . .
Mapigano kati ya makundi hasimu katika jimbo la Sudan la Darfur yamesababisha vifo vya watu 168 Jumapili, kundi moja la misaada limesema. Ghasia zilizuka kwa mara ya kwanza siku ya Ijumaa . . .
Zaidi ya watu 110 wameuawa kufuatia mlipuko uliotokea katika kiwanda haramu cha kuchakata mafuta kusini mashariki mwa Nigeria. Shughuli ya kutafuta miili inaendelea katika eneo hilo pamoja na kuwa . . .
Mpatanishi mwandamizi kwa upande wa Ukraine na mshauri wa rais, Mykhailo Podolyak leo hii amesema majeshi ya Urusi bado yanaendelea kuushambulia mji wa Mariupol na kuhimiza Urusi kutekeleza makuba . . .
Ummy Msika (45), mkazi wa kata ya Bomambuzi manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro amepata madhara mwilini baada ya rafiki yake kudaiwa kumpa maji ya uponyaji ‘upako’.Msika aliyelazwa katika . . .
Watu kadhaa wanahofiwa kuteketea kwa moto kufuatia mripuko uliotokea usiku katika kiwanda kinachochakata mafuta kinyume cha sheria Kusini mwa Nigeria.Polisi imethibitisha kutokea kwa mripuko huo l . . .
Mapigano kati ya kabila la waarabu na wakulima wa kabila la wachache katika eneo lililokumbwa na vita la Darfur nchini Sudan yamesababisha vifo vya watu wanane na wengine 16 kujeruhiwa. Mapigano h . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, jana Jumamosi ametoa tena wito wa kufanya mkutano na kiongozi wa Urusi Vladimir Putin, katika juhudi za kumaliza vita nchini mwake. Katika mkutano na waandishi . . .
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua za haraka kuchukuliwa, ikiwamo kusimamishwa kazi kwa Watumishi wanne wa Wizara ya Maji k . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania wenye tabia ya kuwaficha watoto Wenye Ulemavu kuacha mtindo huo badala yake wahakikishe wanawapa fursa ya kupata elimu.Ameyasem . . .
Rais mstaafu Mwai Kibaki amefariki dunia.Kifo chake kilitangazwa na Rais Uhuru Kenyatta mnamo Ijumaa, Aprili 22 adhuhuri wakati wa kikao na wanahabari katika Ikulu ya Nairobi.Uhuru alitangaza kuwa Kib . . .
Ndege ndogo imeanguka kwenye barabara kuu katika mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince na kusababisha vifo vya takriban watu sita. Ndege hiyo ilikuwa njiani kutoka mji mkuu kuelekea mji wa bandari wa k . . .
Rais wa zamani wa Honduras amepelekwa Marekani ili kukabiliwa na madai ya ulanguzi wa madawa ya kulevya, chini ya miezi mitatu tu baada ya muhula wake kukamilika. Juan Orlando Hernandez amekabidhi . . .
Kiongozi wa kundi la Hamas katika ukanda wa Gaza, Ismail Haniya ametishia kuzidisha makali ya mapigano kati ya kundi hilo na Israel baada ya pande zote mbili kwa mara nyengine kurushiana makombora . . .
Mahakama nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka 20 Mchina aliyetambuliwa kwa jina la Shujun Sun baada ya kupatikana na hatia ya kuwatesa wafanyakazi wakeMchina huyo aliyedai kuwa wafanyakazi hao w . . .
Ndege iliyokuwa imebeba abiria 60 ikitokea Nairobi kuelekea Uganda, iliteleza na kutoka kwenye njia yake ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege wa Entebbe mnamo Jumatano, Aprili 20 asubuhi.Ndege hiyo . . .
Ukraine imetoa wito wa mazungumzo ya haraka na Urusi mjini Mariupol, mji unaokaribia kutekwa baada ya wiki kadhaa za uvamizi wa Urusi huku Rais Vladimir Putin akiendelea kujipiga kifua na kuonyesh . . .
Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka amedaiwa kukamatwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi na kumpeleka katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani jijini hapa.Hata hivyo, msemaji wa Jeshi la Polisi, D . . .
Mvua kubwa inayonyesha Afrika Kusini imewaua karibu watu 443 na wengine kadhaa bado hawajulikani waliko. Mamlaka ilisema kuwa wanajeshi 10,000 wapo katika maeneo ya tukio ili kusaidia zoezi la uok . . .