Mamlaka yenye kushughulika na majanga nchini Afghanistan imesema mvua kubwa na mafuriko yamesababisha vifo vya watu watu 22, kuharibu mamia ya nyumba na mazao, katika taifa hilo ambalo tayari lime . . .
Korea Kaskazini imefyatua kombora la masafa marefu kuelekea bahari yake ya mashariki, ikiwa ni siku chache tu baada ya kiongozi wake Kim Jong Un kuapa kuimarisha zana zake za nyuklia kwa kasi kubw . . .
Majeshi ya Urusi katika mji unaoshikiliwa na majeshi hayo wa Melitopol yamegundulika kuiba Trekta la mkulima mmoja nchini Ukraine lenye thamani ya Dola milioni 5 wakiwa na lengo la kulipeleka Chec . . .
Watu watano wamekufa usiku wa kuamkia leo baada ya jengo moja la ghorofa tatu kuporomoka kwenye mji wa kibiashara wa Nigeria wa Lagos na kuna wasiwasi watu wengine kadhaa wamekwama chini ya kifusi . . .
Baadhi ya wakaaji wa Mombasa sasa wameanza kuitumia pilipili kama kifaa cha kuadhibu watu wanaokutwa na makosa kwa mfano wizi. Waliomkamata katika tendo hilo walimlazimisha kukiri kuiba kabla ya kumpa . . .
Upinzani uliogawika nchini Sri Lanka hapo jana umeonyesha mshikamano wa nadra ulipoungana na kumtaka Rais Gotabaya Sajapaksa kujiuzulu kufuatia mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi ulioikumba nchi hiyo. . . .
Polisi wa kutuliza ghasia nchini Uturuki wamewakamata darzeni ya waandamanaji waliokuwa wakijaribu kufika katika Uwanja mkuu wa Taksimu mjini Istanbul katika maandamano ya Mei Mosi dhidi ya hali n . . .
Neil Parish ameiambia Jembe FM kuwa anajiuzulu kama mbunge baada ya kukiri kuwa alitazama ponografia mara mbili Bungeni.Bw. Parish, ambaye amewakilisha majimbo ya Tiverton na Honiton huko Devon tan . . .
UTAFITI uliofanywa na Shirika la Utafiti la Bedding Company la nchini uinereza umegundua kuwa zaidi ya nusu ya wanaume nchini humo hawafui na kutandika mashuka yako hadi kufikia kipindi cha miezi . . .
Mamlaka ya Mexico imemkamata kiongozi anayeshukiwa kuwa wa kundi lenye nguvu la wauza madawa ya kulevya la Jalisco New Generation. Francisco Javier Rodriguez Hernandez, anayejulikana kama "El Seno . . .
Kufuatia matukio ya uporaji yanayofanywa na vijana wanaojulikana kwa jina la Panya Road jijini hapa, baadhi ya wakazi wameweka mikakati ya kupambana nao.Juzi vijana hao walisababisha taharuki b . . .
Machafuko yamezuka upya hii leo kati ya Wapalestina na polisi wa Israel katika eneo la msikiti wa Al-Aqsa mjini Jerusalem na watu 40 wamejeruhiwa 22 kati yao wakihitaji matibabu. Shirika la Hilali . . .
Kenya leo inamuaga rasmi rais wa zamani wa nchi hiyo Mwai Kibaki aliyefariki wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka 90. Viongozi mbalimbali kutoka barani Afrika wanatarajiwa kushiriki shughuli hiyo . . .
Raia mzungu wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 77, ambaye ni mmiliki wa shamba, amefikishwa mahakamani Alhamisi kwa kumpiga risasi na kumjeruhi mwanamke mweusi akidai kuwa alidhani mwanamke h . . .
Urusi imeyashambulia kwa makombora maeneo kadhaa ya maakazi kwenye mji mkuu wa Ukraine, Kyiv wakati Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akiwa ziarani kwenye mji huo. Guterres na ujumb . . .
Mbunge wa zamani wa Rungwe, Sauli Henry Amon amepoteza jengo la ghorofa nane lililoko Kariakoo jijini hapa, baada ya Mahakama ya Rufani kueleza kuwa nyumba hiyo ilijengwa kwenye kiwanja kilichouzw . . .
Mahakama moja mashariki mwa Rwanda imemhukumu Imam Mwislamu kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua nguruwe msikitini.Sadate Musengimana alikubali kumuua nguruwe huyo 'kwa bahati mbaya' mwez . . .
Polisi mjini Thika katika kaunti ya Kiambu wameanzisha msako wa kumsaka mwanamume asiyejulikana ambaye alivamia kambi ya Thika Barracks na kuiba bunduki.Kisa hicho kilitokea Jumatatu, Aprili 25, katik . . .
Sudan Jumatano imewaachilia huru viongozi kadhaa wa kiraia na mjumbe wa zamani wa Baraza kuu la uongozi, waliokamatwa katika miezi iliyofuata mapinduzi ya kijeshi mwaka jana, wakili wao amesema. . . .
Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 27, 2022 Kijiji cha Ibanda barabara ya Geita-MwanzaKamanda wa . . .
Marekani Jumanne imesema itatoa kiasi cha hadi dola milioni 10 kwa atakaetoa habari kuhusu watu 6 wanaotambulishwa kama maafisa wa ujasusi wa jeshi la Russia, ambao waliendesha mashambulizi ya m . . .
Muandaaji wa mashindano ya urembo nchini Rwanda na mwanamuziki mashuhuri wa zamani amekamatwa Jumanne kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono, polisi wamesema. Dieudonne Ishimwe kwa jina la . . .
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amekutwa na makosa ya kutoheshimu amri ya mahakama, baada ya kushindwa kuwasilisha nyaraka alizotakiwa kuzifikisha katika uchunguzi kuhusiana na biashara . . .
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Urusi Sergei Lavrov amezionya nchi za Magharibi kutopuuza hatari inayoongezeka ya kuzuka mzozo wa nyuklia kuhusu Ukraine. Amesema kimsingi anaiona Jumuiya ya Kujihami . . .