Juhudi zinaendelea kuwaokoa wapiganaji wa mwisho wa Ukraine ndani ya kiwanda cha chuma cha pua cha Azovstal katika mji ulioharibiwa na vita wa Mariupol. Hii ni baada ya maafisa wa Ukraine kusema w . . .
Polisi wa Israel walifyetua gesi ya kutoa machozi na risasi za mpira kuyatawanya makundi ya waandamanaji Wapalestina jana Jumatatu kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya mazishi ya kijana wa Kipa . . .
Katika siku ya 82 ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Jumatatu hii, Mei 16, Ukraine imedai kuwa udhibiti wa eneo la mpakani huko Kharkiv kutoka mikononi mwa Urusi. . . .
Raia wa Tunisia wameandamana katika jiji la taifa hilo Tunis, kupinga hatua ya rais Kais Saied kuendelea kujilimbikizia madaraka na kupanda kwa gharama ya maisha. Vuguvugu linaloong . . .
Wanafunzi 76 wa shule ya Sekondari ya Wasichana Mkuza mjini Kibaha wamenusurika kifo baada ya moto kuteketeza bweni la shule hiyo.Moto huo ambao uliozuka ghafla umeteketeza bweni la shule hiyo ina . . .
Gavana wa jimbo la Lviv nchini Ukraine Maxim Kozitsky amesema leo kuwa mashambulizi manne ya makombora yamelenga miundo mbinu ya kijeshi katika eneo la Yavoriv Magharibi mwa Ukraine karibu na mpak . . .
Wanadoa wawili kaskazini mwa India katika jimbo la Uttarakhand, wamefunguliwa kesi mwanao wa kiume pamoja na mkewe kwa kukosa kuwapa wajuku hata baada yao kuwa katika ndoa kwa kipindi cha miaka 6. . . .
Mariam Nabatanzi alikuwa na umri wa miaka 13 tu alipojaaliwa pacha wake wa kwanza. Na wakati anafikisha umri wa miaka 36, tayari Mariam alikuwa amejifungua watoto wengine 42, ambao inambidi awalee pek . . .
TWITTER imewatimua kazi Mameneja wawili wa ngazi ya juu na kusitisha ajira ikiwa ni mpango wake wa mabadiliko chini ya utawala mpya wa bilionea namba moja duniani Elon Musk. Mtandao huo wa kija . . .
Wanafunzi Waislamu katika mji wa jimbo la kaskazini magharibi mwa Nigeria la Sokoto Alhamisi wamempiga mawe mwanafunzi Mkristo hadi kufa na kuchoma maiti yake baada ya kumshtumu mwanafunzi huyo . . .
Mama mmoja alizua kizaazaa katika mahakama ya Eldoret nchini kenya baada ya kumlilia hakimu kumfunga mwanawe hadi pale ambapo yeye na mumewe watakapoaga dunia.Sally Rotich alikuwa akizungumza mahakama . . .
Ndege iliyokuwa inabeba watu 11 imefanya ajali Jumatano katika msitu katikati mwa Cameroon, wizara ya usafiri imesema.Wafanyakazi wa usafiri wa anga walipoteza mawasiliano na ndege hiyo ambayo ilion . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kutonyamazia matukio ya ukatili wa kijinsia na badala yake watoe taarifa za wahusika wa matikio hayo ili wachukuliwe hatua stahiki.Waziri Mkuu ameyase . . .
Ukraine imesema leo kuwa vikosi vya Urusi vimeishambulia bandari muhimu ya mji wa Odesa katika juhudi za karibuni kabisa za kuhujumu mifumo ya usambazaji wa bidhaa na upokeaji silaha kutoka mataif . . .
Mwandishi habari wa shirika la utangazaji la Aljazeera ameuwawa leo wakati akiripoti katikati ya makabiliano baina ya wanajeshi wa Israel na Wapalestina kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi. Wizara y . . .
Jeshi la Ukraine limesema Russia imerusha makombora saba katika mji wa Odesa, yaliyoanguka kwenye kituo cha biashara na ghala, na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine watano. Meya Gennady Thrukanov . . .
Mahakama nchini Burkina Faso Jummane imeamuru rais wa zamani Blaise Compaore na washtakiwa wengine tisa kulipa fidia ya zaidi ya dola milioni 1 kwa familia ya kiongozi wa zamani wa mapinduzi Tho . . .
Rais wa zamani wa Nigeria Goodluck Jonathan amekataa kupokea fomu ya uteuzi wa Urais , akisema kuwa ilinunuliwa bila ridhaa yake.Fomu hiyo ilikuwa ya chama tawala cha All Progressives Congress ( . . .
Mbunge wa viti maalumu, Cecilia Pareso ameitaka Serikali ilieleze kwanini fidia hailipwi kwa wafanyabiashara ambao bidhaa zao huungua pindi moto unapozuka kwenye masoko husika.Pareso ametoa hoja h . . .
Watu kadhaa wameuwawa na wengine wengi hawajulikani waliko baada ya wanaume waliokuwa wamejihami na silaha kuivamia kambi ya uchimbaji madini karibu na mji wa Mongwalu katika mkoa wa Ituri, mashar . . .
Mahakama moja nchini Ujerumani imemhukumu mwanamke mwenye umri wa miaka 39, kifungo cha miezi sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kuharibu kondomu za mpenzi wake kimakusudi.Katika uamuzi ambao h . . .
Mwanamume mwenye umri wa miaka 23, amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela baada ya kukiri mashtaka ya kuiba chupachai na sahani tatu za mama yake.Kevin Okasimba, alikiri mashtaka hayo alipofikishwa . . .
Zaidi ya watu 10,000 wamekimbia mapigano kati ya jeshi la Iraq na wapiganaji wa Yazidi wenye mafungamano na chama cha wafanyikazi cha Kurdistan PKK kilichopigwa marufuku nchini Uturuki. Afisa kuto . . .
Yamezuka makabiliano mapya baina ya Waisraeli na Wapalestina kwenye katika uwanja wa msikiti wa al-Aqsa mjini Yerusalemu, siku kumi baada ya kutulia kwa mivutano ya awali katika eneo hilo linalogo . . .