Jeshi la Israel limelaumiwa na vyombo vya habari nchini Syria kuhusika na mashambulizi ya anga karibu na mji mkuu Damascus na kusababisha vifo vya wanajeshi watatu na wengine kadhaa kujeruhiwa. Wakati . . .
Misri imefanya mazishi ya watu 41 waliopoteza maisha katika mkasa wa moto uliozuka ndani ya kanisa moja la wakristo wa madhehebu ya Coptic wakati wa ibada jana Jumapili.Mamia ya watu walijitokeza kuto . . .
Mafuriko yaliyosababishwa na mvua za msimu nchini Sudan yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 50 na kuharibu makazi zaidi ya 8,170 tangu kuanza kwa msimu huo wa mvua.Msemaji wa kitengo cha taifa cha ku . . .
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres Alhamisi ametoa wito wa kusitisha harakati za kijeshi karibu na jengo la kiwanda cha nyuklia cha Ukraine cha Zaporizhzhia, huku Moscow na Kyiv zikilaum . . .
Polisi wa Afrika Kusini Alhamisi wamesema wamewakamata watu 20 wanaoshukiwa kuwa miongoni mwa watu waliochochea vurugu ambazo zilisababisha vifo vya mamia ya watu mwaka jana, katika mzozo mbaya kuwahi . . .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa tena katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi leo Agosti 12.Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashitaka . . .
Pacha aliyesalia ‘Rehema’ kati ya mapacha wawili waliotenganishwa Julai Mosi mwaka huu, amefariki dunia jana saa 5 asubuhi Agosti 11, wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa . . .
Mamlaka nchini Mali zimetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kuanza leo, baada ya mashambulizi mawili yaliyofanywa na makundi ya Kiislamu yenye msimamo mkali kusababisha mauaji ya wanajeshi na p . . .
Elizabeth Cheleo mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa mtaa wa Nsemulwa, Kata ya Nsemulwa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, amepoteza maisha kwa kujinyonga chumbani kwake kwa kutumia kipande cha kiteng . . .
Maafisa wawili wa polisi wameuawa Jumatano nchini Sierra Leonne baada ya maandamano dhidi ya hali ngumu ya uchumi kugeuka kuwa mapambano kati ya maafisa wa usalama na vijana wanaomtaka rais ajiuluzu, . . .
Maelfu ya waandamanaji wenye hasira nchini Afrika Kusini waliwasaka wachimba migodi wasiokuwa na vibali baada ya ubakaji wa wanawake wanane wiki iliyopita. Ubakaji huo ulifanyika katika mji wa Krugers . . .
Rommy Jones almaarufu RJ the DJ kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu sakata la picha za utupu wake kuvujishwa mitandaoni na mwanaharakati mmoja wa kimitandao kupitia ‘app’ yake.RJ amechukua fursa . . .
Jeshi la DRC Jumanne limesema limewaua waasi 11 wa kundi la wanamgambo la Allied Democratic Forces (ADF), ambalo kundi la kigaidi la Islamic State linadai ni mshirika wake, mashariki mwa DRC.ADF ni mm . . .
Maafisa wanaokabiliana na moto mkubwa unaoendelea kuteketeza misitu Carlifonia, wanakumbana na hali ngumu kutokana na radi pamoja na joto la hali ya juu, vinavyoongeza moto kusambaa, huku . . .
Idadi ya watu waliongamania katika mafuriko jijini Mbale nchini Uganda imeongezeka na kufika watu 22 huku wengine 10 wakiwa katika hali mahututi kulingana na polisi.Mito miwili ilivunja kingo zake kuf . . .
Msiba wa watoto wawili wa wafanyabiashara marufuku jijini la Arusha, waliokuwa wachumba umeibua simanzi na kutawaliwa na usiri kuhusu chanzo cha ajali iliyosababisha vifo vyao. Watoto hao, Estomi . . .
Polisi mjini Kakamega wamemzuilia mwanamke wa makamo kwa madai ya kuishi na maiti kinyume na sheria. Shamim Kabere, mkazi wa Iyala, eneo bunge la Lurambi, anasemekana kuuhifadhi mwili wa Ainea Tavava, . . .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi huku akiwa amefungwa bandeji kichwani.Sabaya na wenzake wanakabiliwa na ma . . .
Waziri wa mambo ya kigeni wa Urusi Sergei Lavrov amepinga vikali madai kuwa nchi yake ndiyo inawajibika kwa kupanda kwa bei za vyakula duniani kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine na badala yak . . .
Watu 15 wamekufa wakiwemo walinda amani watatu huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano yanayoendelea kushuhudiwa mashariki mwa nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, raia wakishinik . . .
Nchini India imeripotiwa vifo vya watu 20 waliouawa na radi ikiwa ni ndani ya masaa 24 katika miji nane iliyo Mashariki mwa Jimbo la Bihar nchini humo. Radi hizo ziliambatana na mwanga mkali . . .
Wakati famili tano zilizopotelewa na watoto wao maeneo ya Kariakoo katika mazingira ya kutatanisha, wametoka tena hadharani safari hii wakimuomba Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camilius . . .
Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limesema leo kuwa kundi la waasi wa M23 liliwatuhumu na kuwaua raia 29 pasina kuwapa fursa ya kujitetea tangu katikati mwa Juni, katika maeneo . . .
Utawala wa kijeshi nchini Myanmar umewanyonga wanaharakati wanne wa demokraisa katika kile ambacho kimetajwa kuwa mwanzo wa kutumika kwa hukumu ya kunyongwa nchini humo baada . . .