Watu 15 wameuawa katika maandamano dhidi ya MONUSCO nchini DRC

Watu 15 wamekufa wakiwemo walinda amani watatu huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano yanayoendelea kushuhudiwa mashariki mwa nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, raia wakishinikiza kuondolewa kwa vikosi vya umoja wa Mataifa MONUSCO.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii