logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Afrika
  • Na Asha Business
  • June 1, 2022

Kundi la Islamic State limedai kuhusika na shambulizi la DRC lililouwa watu 15

Islamic State siku ya Jumanne lilidai kuhusika na shambulizi lililoua takribani raia 15 katika kijiji kimoja kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo siku ya Jumapili. Kundi hilo . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 1, 2022

DRC imekubali kuwaachia wanajeshi wawili inaowashikilia wa nchini Rwanda

Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC) imekubali kuwaachilia wanajeshi wawili wa Rwanda walioshikiliwa na DRC huku mivutano ikiongezeka kati ya majirani hao wawili, Rais wa Angola Joao Lourenco a . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 31, 2022

Mamia ya watu wameandamana DRC dhidi ya Rwanda kuliunga mkono kundi la M23

Mamia ya watu waliandamana dhidi ya Rwanda siku ya Jumatatu katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Kinshasa kuhusu shutuma kuwa Kigali inaliunga mkono kundi la waasi la M23 huku miv . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • May 31, 2022

Ufaransa yaomba uchunguzi kuhusu mauaji ya mwanahabari wa nchi hiyo nchini Ukraine

Ufaransa Jumatatu imeomba uchunguzi ufanyike baada ya mwandishi wa habari wa Ufaransa kuuawa nchini Ukraine wakati gari alilokuwa akisafiria, ambalo lilikuwa linatumiwa kuwahamisha raia karibu n . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 31, 2022

Vifo vya raia na unyanyasaji wa haki za binadamu vinaongezeka nchini Mali

Vifo vya raia na manyanyaso ya haki za binadamu yanayofanywa na wanajeshi wa Mali yaliongezeka katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ripoti ya Umoja wa Mataifa ilisema Jumatatu lakini Bamako ilitu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 31, 2022

Hukumu ya Sabaya yaahirishwa hadi Juni 10

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeahirisha hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita kutokana na Hakimu kuwa na majukumu men . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 30, 2022

KIJANA AFARIKI AKIWA KWENYE CLUB.

MCHUANO wa fainali za kombe la mabingwa wa UEFA, uligeuka kuwa simanzi kwa familia moja Kaunti ya Kilifi. Hii ni baada ya jamaa wao kuuawa kilabuni alikoenda kutazama mechi hiyo kati ya Liverpool n . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 30, 2022

Senegal imewazika watoto wachanga 11 waliokufa kwa ajali ya moto hospitalini

Senegal hapo Jumapili ilifanya mazishi ya watoto 11 ambao walikufa kutokana na moto uliowaka kwenye jengo la hospitali, Meya wa eneo hilo alisema baada ya mkasa huo kuibua hasira mpya juu ya hali . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 30, 2022

Hali ya wasiwasi kati ya Wapalestina na Waisraeli yaripotiwa Mashariki mwa Jerusalem

Maelfu ya Waisraeli, wakiwa wanapeperusha bendera ya nchi yao, wameandama katika eneo la Wapalestina, Mashariki mwa Jerusalem, katika kitendo ambacho kimelezwa kuwa cha kicho . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • May 30, 2022

Jeshi la Urusi laingia katikati mwa Sievierodonetsk

Siku ya 96 ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Jumatatu Mei 30, Ukraine imedai kurejesha kwenye himaya yake eneo la Kherson, kutoka mikononi mwa Urusi tangu kuanza kwa uvamiz . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 30, 2022

Joe Biden azitembelea familia za wahanga wa shambulizi la bunduki Uvalde

Rais wa Marekani Joe Biden ametembelea familia za wanafunzi 19 na walimu wawili, waliouawa kwa  kupigwa risasi wakiwa shuleni wiki iliyopita katika mji wa Uvalde, jimbon . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 30, 2022

Mbunge wa Rabai Aaga Dunia Baada ya Kuwasilisha Stakabadhi kwa IEBC.

Mbunge wa Rabai William Kamoti amefariki dunia muda mfupi baada ya kuwasilisha karatasi zake za uteuzi kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka.OCPD wa Kilifi Jonathan Koech alithibitisha kifo cha mbunge h . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 29, 2022

Wanajeshi wawili wa Rwanda waliokamatwa DRC watambulishwa kwa vyombo vya habari

anajeshi wawili wanaodaiwa kuwa wa Rwanda waliokamatwa katika mpaka wa DRC na nchi hiyo wametambulishwa kwa wanahabari .Koplo Élysée Nkundabangezi na Pte Ntwari Gad walikamatwa na wakazi wa Bwish . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • May 29, 2022

Ndege yenye abiria 22 imepoteza uelekeo Nepal

Ndege yenye watu 22 imepoteza uelekeo nchini Nepal. Kwa mujibu wa shirika la ndege la taifa hilo ndege hiyo ilipoteza mawasiliano muda mfupi baada ya kuruka saa tatu na dakika 55 ya leo katika uwa . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • May 29, 2022

Majeshi ya Urusi yaishambulia miji ya mashariki mwa Ukraine

Vikosi vya Urusi vimeongeza kasi ya mashambulizi dhidi ya mji wa Sievierodonetsk mashariki mwa Ukraine baada ya kudai kuutia mkononi mji wa Lyman. Lengo kuu ni kuvizingira vikosi vya Ukraine.Kwa m . . .

Mtandaoni
  • Na Asha Business
  • May 27, 2022

MKE ASABABISHA KIFO CHA MUME WAKE HUKO MAREKANI.

Mume  wa Walimu waliouawa kwa kupigwa risasi Jumanne huko Uvalde, Texas, nchini Marekani ameripotiwa kufariki kutokana na mshtuko wa moyo. Joe Garcia alikuwa Mume wa Irma Garcia, ambaye alif . . .

Siasa
  • Na Asha Business
  • May 27, 2022

Mwanasiasa Wa Kenya Awatepeli Mawakala wa M-Pesa Zaidi ya KSh 350k Read.

Maafisa kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wamemkamata mwanasiasa mmoja kwa kujipatia zaidi ya KSh350,000 kwa njia ya ulaghai kutoka kwa maajenti wa Mpesa.Benson Thuranira Kathiai anadaiwa kuwat . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 27, 2022

DRC yaishtumu Rwanda kuunga mkono waasi wa M23

Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeishtumu Rwanda kuunga mkono kundi la waasi la M23, jambo ambalo Rwanda imekanusha Alhamisi wakati jeshi la Congo likipambana na waasi hao katika eneo la mash . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • May 27, 2022

Maafisa wa Ukraine "makombora ya Russia yameua raia 7 katika mji wa Kharkiv".

Maafisa katika mji wa pili kwa ukubwa wa Ukraine, Kharkiv, Alhamisi wamesema mashambulizi ya makombora ya Russia yameua raia 7 na kujeruhi wengine 17, huku mapigano makali yakipamba moto kaskazi . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • May 26, 2022

Kanisa Laadhimisha Sikukuu ya Krismasi nchini Congo.

Kanisa moja nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo limeadhimisha Sikukuu ya Krismasi likisherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristu.Tofauti na kawaida ambapo makanisa mengi ulimwenguni huadhimisha kuzaliwa kw . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 26, 2022

‘X’ APELEKA ZAWADI YA BOMU KWENYE HARUSI.

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mke na mume wamejikuta wakilipukiwa na bomu mara baada ya kufungua zawadi waliyozawadiwa na mpenzi wa zamani (x) wa dada yake na bibi harusi wakati wa sherehe ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 26, 2022

Vikosi vya Urusi vyshambulia zaidi ya miji 40 Donbass

Wakati wa Kongamano la Kiuchumi la Davos siku ya Jumatano, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Dmytro Kouleba aliishutumu NATO kwamba "haijafanya lolote" dhidi ya uvamizi wa nchi yake ulioanzishwa n . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • May 26, 2022

Serikali ya Gambia kumfungulia mashtaka rais wa zamani Yahya Jammeh

Serikali ya Gambia Jumatano imesema itamfungulia mashtaka rais wa zamani Yahya Jammeh kwa mauaji, ubakaji, mateso na madai ya uhalifu mwingine uliofanywa chini ya utawala wake wa zaidi ya miaka . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 26, 2022

Niger yasema imeuwa wanamgambo 40 wa Boko Haram

Serikali ya Niger inasema jeshi lake limewauwa wapiganaji 40 wa kundi la Boko Haram kwenye mapigano katika visiwa vya Ziwa Chad. Wizara ya ulinzi ya Niger imesema usiku wa Jumatano, wapiganaji wap . . .

Kurasa 36 ya 49

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Siasa
news
  • 2 masaa yaliopita

SABABU ZA HECHE KUNYIMWA UWANJA WA FURAHISHA MWANZA

Michezo
news
  • 2 masaa yaliopita

RASMI CARLO ANCELOTTI KOCHA MPYA BRAZIL

Michezo
news
  • 4 masaa yaliopita

XABI ALONSO KUANZA KUIFUNDISHA MADRID KOMBE LA DUNIA

Burudani
news
  • 4 masaa yaliopita

Foby "Kwenye Lebo unaingia msafi ukitoka mchafu"

Habari
news
  • 6 masaa yaliopita

Tume ya Uchaguzi Yatangaza Majimbo Mapya 8 na Kubadili Majina ya Majimbo 12

Siasa
news
  • 7 masaa yaliopita

Katibu wa BAWACHA Kilimanjaro aondoka CHADEMA

Habari
news
  • jana

Rais Samia Aongoza Taifa Kuaga Mwili wa Mzee Cleopa Msuya

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • SABABU ZA HECHE KUNYIMWA UWANJA WA FURAHISHA MWANZA

    • 2 masaa yaliopita
  • RASMI CARLO ANCELOTTI KOCHA MPYA BRAZIL

    • 2 masaa yaliopita
  • XABI ALONSO KUANZA KUIFUNDISHA MADRID KOMBE LA DUNIA

    • 4 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode