logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 24, 2024

Lebanon inasema mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah yameua watu 490

Israel imezidisha vita vyake dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon Jumatatu, ikiua takriban watu 490 na kujeruhi wengine zaidi ya 1,650 katika mashambulizi makubwa ya anga ambayo yamezua was . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 24, 2024

Lebanon inasema mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah yameua watu 490

Israel imezidisha vita vyake dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon Jumatatu, ikiua takriban watu 490 na kujeruhi wengine zaidi ya 1,650 katika mashambulizi makubwa ya anga ambayo yamezua was . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 20, 2024

Mashambulizi ya Lebanon yalikuwa pigo kubwa- asema kiongozi wa Hezbollah

Kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, Alhamisi amekiri kwamba shambulizi la wiki hii ndani ya Lebanon kupitia vifaa vya mawasiliano vya kundi hilo, lilikuwa pigo kubwa, huku akisema kuwa Israel ili . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • September 19, 2024

Milipuko mipya ya vifaa vya mawasiliano vya Hezbollah yaua watu kadhaa na kujeruhi mamia

Milipuko mipya imetokea hivi pude siku ya Jumatano Septemba 18 katika viunga vya kusini mwa Beirut, na pia kusini na mashariki mwa Lebanon. Milipuko ya hivi punde pia inahusisha vifaa vya mawasiliano . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • September 19, 2024

Shambulizi la Ukraine, lasababisha maafa Russia

Shambulizi la ndege zisizo na rubani za Ukraine, la Jumatano kwenye ghala la Russia, limesababisha mlipuko kama wa tetemeko la ardhi na kuwasha moto ambao ulilazimisha kuhamishwa kwa mji katika mkoa w . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • September 13, 2024

Mwanafunzi Kidato cha Kwanza Ajiua kwa Kisu Kisa Tabia mbovu

Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Mpakani Ufunuo Mwamlima (13) mkazi wa mtaa wa Chapwa A Halmshauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe amejichoma kisu cha tumboni hadi kufa baada ya waza . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 13, 2024

Ukraine inaishtumu Russia kushambulia meli ya nafaka

Ukraine Alhamisi iliishtumu Russia kwa kutumia makombora ya kimkakati kushambulia meli ya nafaka ya kiraia katika shambulizi la kombora katika bahari ya Black Sea karibu na Romania, nchi mwanachama wa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • September 6, 2024

Ajali ya basi yaua watu 11 Mbeya

Watu 11 wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejuruhiwa huku wakiwa mahututi kwenye ajali ya basi la abiria yenye namba za usajili T282 CXT Kampuni ya  AN  inayofanya safari zake kutoka Mbey . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • September 6, 2024

Karibia wanafunzi 17 wameteketea kwa moto wakiwa bwenini

Nchini Kenya, karibia wanafunzi 17 wa Shule ya msingi ya kibinafasi ya Hillside Endarasha Academy iliyopo katika Kaunti ya Nyeri, katika mkoa wa kati, wamethibitishwa kupoteza maisha, baada ya kuteket . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • September 5, 2024

Shambulio la risasi: Bob Wine kufanyiwa upasuaji

Mwanasiasa wa upinzani wa Chama cha National Unity Platform – NUP nchini Uganda, Bobi Wine anatarajiwa kufanyiwa upasuaji baada ya kujeruhiwa na Polisi kwa risasi mguuni.Awali chama chake kilikuwa k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 4, 2024

Mahakama ya Iran yampa adhabu ya kifo mwanajeshi

Mahakama ya Juu ya Iran, imekubali hukumu ya kifo iliyotolewa kwa mwanachama wa tawi la kujitolea la Jeshi la Mapinduzi la nchi hiyo ambaye alivamia nyumba wakati wa maandamano ya 2022 ya kupinga kifo . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 29, 2024

Washukiwa 2 Walionaswa kwenye CCTV Wakiibia Wagonjwa Watiwa Mbaroni

Washukiwa wawili walitiwa mbaroni kwa madai ya kuiba wagonjwa wasiofahamu katika hospitali ya Machakos Level 5.Washukiwa hao wawili walikamatwa baada ya mmoja wao, Peter Mutavi, kunaswa kwenye picha z . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 28, 2024

Tren ya TRC yapata ajali

Treni ya abiria iliyokuwa ikisafiri kutoka Mkoani Kigoma kuelekea Dar es Salaam imepata ajali baada ya mabehewa sita (6) ya treni kuacha njia na kupelekea majeruhi 70, wanawake 26 na wanaume 44.Taarif . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 26, 2024

Musa Mbaroni Kwa Kumuua na Kumkata Vipande Vipande Ezenia

Jeshi la Polisi linamshikilia Abdallah Miraji maarufu kama Musa (42)mkazi wa Dar es Salaam kwa Kosa la kumuua kwa kumkata kata mpenzi wake Ezenia Stanley Kamana (36) na kisha kutupa viungo vya mwili w . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 19, 2024

Wazazi Wakasirika, Wabomoa Nyumba ya Mwanao Aliyewaita Washirikina: "Eti Sasa Nimekuwa Mchawi?"

Hali ya wasiwasi ilitanda katika kijiji cha Kiamachongo, kaunti ya Kisii, wazazi wazee walipobomoa nyumba ya mtoto  wao kwa hasira.Mzozo huo unaripotiwa kuwa unatokana na mzozo wa ardhi unaoendel . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • August 19, 2024

Israel yadaiwa kuuwa raia wa Palestina 28

Mashambulizi ya Israel, yamewauwa raia 28 wa Palestina katika mapigano mapya ya Gaza, ikijumuisha mwanamke na watoto wake sita kwa mujibu wa maafisa wa afya wa Palestina.Mashambulizi yamefanyika kabla . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • August 16, 2024

DC SAME "SITAKI KUONA MIFUGO IKICHUNGWA MJINI "

Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni ameagiza Halmashauri ya Same kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kufanya oparesheni maalum eneo la mjini kuondoa mifugo iliyoingia Same kinyume . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 14, 2024

Uchunguzi wafunguliwa baada ya kuanguka kwa ndege ya kijeshi kutoka Uganda

Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ndege ya kijeshi isiyo na rubani inayoshukiwa kutoka nchi jirani ya Uganda ilianguka katika jimbo la Ituri. Jeshi la Kongo limetangaza kufungu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 12, 2024

Mbuzi wazikwa makaburini na sanda

Mbuzi wawili jike na dume wamekutwa wamekufa na kufukiwa makaburini wakiwa wamevalishwa sanda mithili ya mwili wa mtu aliyekufa kisha kufanyiwa maandalizi ya maziko makaburini.Tukio hili limetokea kat . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • August 6, 2024

Polisi waonya mjadala wa udhalilishaji wa binti

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema uchunguzi kuhusu tukio la udhalilishaji kwa binti mmoja Jijini Dar es salaam unaendelea vizuri huku likisema kuwa watu wenye taarifa za ziada waziwasilishe kwa . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 6, 2024

Ripoti yaelezea sababu za kuibuka tena kwa kundi la waasi la M23

Ripoti ya Ebuteli na kundi la Utafiti kuhusu Kongo (GEC) iliyochapishwa siku Jumanne, Agosti 6, 2024, yenye kichwa Kuibuka tena kwa M23: ushindani wa kikanda, siasa za wafadhili na kuzuia mchakato wa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 5, 2024

100 wafariki kwenye maandamano, Jeshi latoa kauli

Takriban watu 100 wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa katika maandamano dhidi ya Serikali nchini Bangladesh ya kumshinikiza Waziri Mkuu, Sheikh Hasina ajiuzulu.Vyombo vya Habari nchini humo vimeri . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • August 4, 2024

Karibu makombora thelathini ya Hezbollah yarushwa kuelekea Israeli

Iran ilionya. Hezbollah inaonekana imeanza jibu lake lililotangazwa, baada ya karibu makombora thelathini kurushwa kuelekea Israeli usiku wa Jumamosi Agosti 3kuamkia Jumapili Agosti 4. Hii inafuat . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 31, 2024

Ajabu mwanaume akimuua mkewe mbele ya watoto na kisha akanywa sumu

WAKAZI wa eneo la Metameta katika mtaa wa Manyatta Kaunti ya Kisumu Jumatatu waliamkia habari za kushangaza baada ya watoto kuwaeleza majirani jinsi baba yao alivyomuuwa mama yao wakishuhudia na kisha . . .

Kurasa 13 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Uhamiaji Simiyu yaendelea na jitihada za kudhibiti Wahamiaji haramu

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Serikali kufuatilia Makala ya CNN kuhusu maandamano ya uchaguzi oktoba 29

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Dkt, Samia anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi siku mbili mkoani Arusha

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Kesi ya 3 yawasilishwa kupinga ujenzi wa Chuo Kikuu cha Nyamira

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 10 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 10 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 11 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode