logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Jamii
  • Na Asha Business
  • November 1, 2024

Kalameni akiri alijifanya mgonjwa ili amkatie nesi hospitalini

KALAMENI  alishangaza watu alipofichua kuwa alijifanya mgonjwa ili akutane na nesi mmoja amrushie mistari.Jamaa huyo anadai lengo lake lilikuwa kukutana na nesi huyo ili apate nafasi ya kumweleza . . .

Mtandaoni
  • Na Asha Business
  • October 31, 2024

Jamaa Awavamia Wakwe Kudai Mahari Baada ya Kutambua Bi Harusi Ana Mimba ya Mtu Mwingine

Baada ya kukutana na mwanamke kwenye mtandao wa kijamii, Muhammed alimpenda sana na kuchukua hatua kubwa ya kuwatembelea wazazi wake na kulipa mahari.Hata hivyo, nia yake ya kumuoa mwanamke huyo ilivu . . .

Mafuriko
  • Na Asha Business
  • October 31, 2024

Uhispania yaanza maombolezo ya kitaifa ya siku tatu

Maombolezo ya kitaifa ya siku tatu yanaanza leo Alhamisi nchini Uhispania, nchi iliyokumbwa usiku wa Jumanne kuamkia Jumatano na mafuriko mabaya zaidi tangu miaka ya 1980. Pedro Sanchez anatarajiwa ku . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 30, 2024

Aua Familia yake ya watu 6 kisas kukataliwa kulala na mpenzi wake

Majaji walimtia hatiani kijana wa Indianapolis Raymond Ronald Lee Childs kwa kuua watu 6 wa Familia yake huku kukiwa na mzozo juu yake kuondoka nyumbani bila ruhusa.Raymond Ronald Lee Childs anashtaki . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 30, 2024

Bibi harusi afariki Ukumbini akimuimbia Mumewe

Sherehe ya harusi iliyofanyika siku ya Jumamosi Oktoba 26 Nchini Cameroon imegeuka kuwa vilio na huzuni baada ya Bibi harusi anayejulikana kama Sorelle Manuella kuanguka akiwa anaimba na kucheza wimbo . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 21, 2024

Gaza: Wanawake na watoto zaidi ya Elfu Moja kupokea matibabu barani Ulaya

Wanawake na watoto karibia Elfu Moja wanaohitaji huduma za kimatibabu wanatarajiwa kuondolewa katika Ukanda wa Gaza na kupelekwa barani Ulaya kutibiwa, kwa mujibu wa WHO barani Ulaya.Taarifa ya Hans K . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 16, 2024

Baba atuhumiwa kuua mtoto wake wa kumzaa

Geremiah Kwang (32) mkazi wa Kijiji cha Orkitikiti wilayani Kiteto mkoani Manyara amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.Katika tuhuma h . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 13, 2024

Ashikiliwa Kwa Kumuua MTOTO na Kumficha Uvunguni

Kwa mujibu Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, SACP Justine Masejo, Mariam alitoweka baada ya kutumwa dukani asubuhi, jambo lililosababisha Wazazi wake waanze kumtafutaBaada ya uchunguzi, wat . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 11, 2024

Mwanafunzi wa kidato cha Kwanza Afariki baada ya Kuokota Kilipuzi

Familia moja katika eneo bunge la Bumula kaunti ya Bungoma imejawa na majonzi kufuatia kufariki kwa mwanao baada ya kuokota kilipuzi cha kuchimba madini kimakosa.Mwanafunzi wa Shule ya Upili ya St. Ki . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 7, 2024

Baada ya mke na dada kuuawa baba naye auawa

Baba wa familia na mkazi wa barabara ya nne jijini Tanga Alii Bagidad (60) mwenye asili ya Kiasia ambaye mke wake pamoja na dada wa kazi walikutwa wamenyongwa pamoja na kutobolewa macho yao wiki iliyo . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • October 7, 2024

Papa Francis Kuteua Makadinali Wapya 21

Papa Francis atawateuwa makadinali wapya 21 kutoka duniani kote, alisema hayo Jumapili, katika hatua ambayo haikutarajiwa kushawishi kundi hilo lenye nguvu la watu wa kanisa ambao siku moja watamchagu . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 4, 2024

Mwanamume Adaiwa Kumuua Kakake Wakati wa Mazishi ya Ndugu Yao Read

Polisi huko Makueni wameanzisha uchunguzi kufuatia mauaji ya kutisha ya mwanamume wa makamo na jamaa.  inadaiwa alimuua kaka yake katika kijiji cha Malivini, Makindu, baada ya kutofautiana k . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 4, 2024

Mume amuua mke wake nayeye kujiua

Watu wawili ambao ni mke na mume wamefariki dunia baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe kisha naye kujiua katika Kijiji cha Njirii Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni Mkoani Singida huku chanzo kikidai . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 3, 2024

Afariki baada ya kupigwa na kuingizwa miti

Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba katik . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 3, 2024

Wanajeshi nane wa Israel wauwawa Lebanon

Jeshi la Israel limesema Jumatano kwamba wanajeshi wake 8 wameuwawa kwenye mapigano yanayoendelea dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah, kusini mwa Lebanon, siku moja baada ya kuanza kile kilochotajwa kuwa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 3, 2024

Wanne wafariki kwa ajali ya Basi

Watu wanne wamefariki dunia, na wengine 15 kujeruhiwa baada ya kutokea kwa ajali ya basi la Kapricon lenye namba za usajili T605 DJR, ambalo liliacha njia na kupinduka.Akithibitisha kutokea kwa tukio . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • October 2, 2024

Ahukumiwa jela kwa kumbaka bibi wa miaka 79

Mahakama ya wilaya ya Momba leo Oktoba 2, 2024 imemhukumu miaka 30 jela Bahati Sichalwe mwenye umri wa miaka 33 mkazi wa kijiji cha Chiwanda wilayani Momba mkoani Songwe kwa kosa la kumbaka bibi wa mi . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • October 1, 2024

BONIFACE JACOB KUENDELEA KUSOTA RUMANDE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Oktoba 1, 2024 imetupilia mbali maombi ya Serikali yaliyowasilishwa wiki iliyopita juu ya kiapo cha ziada kupinga dhamana ya mgombea uenyekiti Kanda ya Pwani, Bonif . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 1, 2024

Takriban watu 200 wafariki kwenye mafuriko ya Nepal

Idadi ya watu waliokufa nchini Nepal kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyotokana na mvua kubwa mwishoni mwa wiki, imefikia 193, wakati shughuli za uokozi zikiimarishwa Jumatatu.Vifo vingi . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • September 30, 2024

Helene chasababisha uharibifu mkubwa Kusini Mashariki mwa Marekani

Majimbo ya  kusini mashariki mwa Marekani yanaendelea kukabiliana na vifo pamoja na ukosefu wa vifaa muhimu kwenye maeneo ya ndani, huku nyumba zikiharibiwa kutokana na kimbunga Helene, ambacho m . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • September 29, 2024

Mafuriko nchini Nepal: idadi ya waliofariki yaongezeka hadi 101 na 64 hawajulikani walipo

Takriban watu 101 wamefariki na wengine 64 hawajulikani walipo nchini Nepal, kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa, hasa katika mji mkuu Kathmandu, kulingana na ripot . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • September 27, 2024

Jamaa Kuzikwa Ndani ya Nyumba Yake ya Kifahari Jinsi Alivyoagiza Familia huko Siaya

Familia ya mwenyekiti wa kwanza wa Halmashauri ya Mji wa Siaya, Mzee John Oruenjo Umidha, imefichua kuwa atazikwa ndani ya nyumba yake. mwanae Koruenjo, wamechimba kaburi kwa ajili ya kujiandaa k . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • September 26, 2024

EU yatoa msaada wa euro milioni 5.4 kwa nchi za Afrika Magharibi zilizokumbwa na mafuriko

Umoja wa Ulaya ulitoa msaada wa euro milioni 5.4 kwa nchi sita za Afrika Magharibi na Afrika ya Kati zilizokumbwa na mafuriko mabaya, ujumbe wa Umoja wa Ulaya nchini Chad ulisema Jumatano.Msaada huo w . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 24, 2024

Kikwete wa mchongo akamatwa akitapeli Facebook

Mahakama ya wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimbani mkazi wa Mabwepande, Shembiu Shekilaghe(38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujiwasilisha kama yeye ni Jakaya Mrisho Kikwete . . .

Kurasa 12 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

Habari
news
  • 10 masaa yaliopita

Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Uhamiaji Simiyu yaendelea na jitihada za kudhibiti Wahamiaji haramu

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Serikali kufuatilia Makala ya CNN kuhusu maandamano ya uchaguzi oktoba 29

Habari
news
  • 11 masaa yaliopita

Dkt, Samia anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi siku mbili mkoani Arusha

Habari
news
  • 12 masaa yaliopita

Kesi ya 3 yawasilishwa kupinga ujenzi wa Chuo Kikuu cha Nyamira

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • China imesaini makubaliano ya kufufua mradi wa TAZARA

    • 10 masaa yaliopita
  • Wanafunzi 52 watekwa na watu waliojihami kwa silaha Nigeria

    • 10 masaa yaliopita
  • Waziri Mkuu aagiza mkandarasi kukamatwa na kuzuia hati yake

    • 11 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode