Mkuu wa Tume ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Volker Turk ameeleza kwamba watu 184 waliuawa wikendi iliopita nchini Haiti wakati magenge yenye silaha yalipoongeza kasi ya vurugu.Utovu wa us . . .
POLISI nchini Tanzania, wanamzuilia mwanamke mmoja aliyekamatwa kwa kuhifadhi mwili wa pasta wa kanisa lake kwa miezi miwili ndani ya nyumba akisubiri afufuke.Katika tukio lililowaacha wakazi wa . . .
wabunge zaidi ya 50 waliokuwa wakisafiri kwa basi kutoka Dodoma kwenda Nchini Kenya kushiriki michezo wamepata ajali eneo la Mbande mkoani Dodoma.Wabunge kadhaa wamepata majeraha ya Mwili kutoka . . .
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol amea,gushwa siku ya Jumatano na upinzani na chama chake baada ya kujaribu kuweka sheria ya kijeshi siku ya Jumanne, hatua ambayo alilazimika kufuta kwa shinikizo.Yoo . . .
Mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli mkoani Shinyanga, Makoye Mayala (45) amejinyonga hadi kufa baada ya kumjeruhi kwa kisu mtoto wake, Anna Makoye (06) mwanafunzi wa shule ya msingi Mwamagunguli.Chanzo c . . .
DRC Congo: Wanamtandao wamefurahishwa na jinsi washarika wanavyolazimishwa kuruka mishumaa inayowaka ili kumwendea mchungaji wao kwa maombi au baraka.wanaume wanaovaa kanzu ndefu na wanawake waliovaa . . .
Jamaa mmoja jijini Dar es Salaam, Tanzania amejikuta pabaya baada ya mzigo wa mahindi aliokuwa ameiba kumkwama mabegani.Frank Japhet, 23, mkazi wa Mbezi, jijini Dar es Salaam, amelazimika kujisalimish . . .
Hali ya sintofahamu imetanda Friends School Womulalu katika Kaunti ya Vihiga baada ya mtahiniwa wa KCSE, aliyetambulika kama Snider Undisa, kuaga dunia kabla ya kukamilisha mtihani wake wa mwisho.&nbs . . .
Iran imetangaza hivi punse siku ya Jumapili Novelba 24, 2024 kwamba majadiliano juu ya mpango wake wa nyuklia yatafanyika katika siku zijazo na Ufaransa, Ujerumani na Uingereza, nchi tatu ambazo ziliw . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma linamsaka Martin Hyera kwa kosa la kumuua mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa unyumba.Akithibitisha kutokea kwa . . .
MTAHINIWA wa Mitihani ya Kitaifa ya Shule ya Upili (KCSE) amefariki katika hali tatanishi katika Shule ya Upili ya Turkana Talent, Kaunti ya Turkana.Chanzo cha kifo cha John Ekalale kilichotokea Jumat . . .
Mapigano makali ya bunduki yalizuka Alhamisi jioni, katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, baada ya vikosi vya usalama kwenda kumkamata mkuu wa idara ya ujasusi kwa mujibu wa shirika la habari la Reut . . .
Polisi na makundi ya kiraia ya kujilinda yamewauwa watu 28 wanaodaiwa kuwa wanachama wa genge katika mji mkuu wa Haiti, Port au Prince katika operesheni ya usiku kucha, serikali imesema Jumanne, wakat . . .
Polisi katika kaunti ya Kiambu wanachunguza kisa ambapo mtoto mchanga aligunduliwa akiwa amelala kando ya mwili wa mama yake uliooza mnamo Jumapili, Novemba 17. Baba yake mtoto huyo pia alipatika . . .
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji CGF John Masunga, amesema bado kuna mawasiliano kati ya Jeshi hilo na Watu walionasa chini ya jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo jijini Dar es s . . .
Mwanaume anayefahamika kwa jina la Hassan Ali anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Pasua mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia kwa kile kinachohisiwa kuwa ni kujinyonga kwa kamba za . . .
Polisi wanamzuilia kijana mmoja anayeshukiwa kuhusika katika mauaji ya ajuza wa miaka 78. Catherine Waceke alitoweka Jumamosi, Novemba 10, siku moja kabla ya mwili wake kugunduliwa ndani ya tanki . . .
Aliyekuwa Katibu wa chama cha mapinduzi wilayani Kilolo Mkoani Iringa Christina Kibiki amevamiwa na watu wasiojulikana na kuuwawa nyumbani kwake kwakupigwa risasi kifuani.Tukio hilo lakuvamiwa n . . .
Rais wa Guinea Ikweta, Obiang Nguema Mbasogo amemteua Zenon Avomo kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF).Zenon anachukua nafasi hiyo baada ya mtangulizi wake, Bal . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Juma Afyusisye (38), Dereva Bodaboda, Mkazi wa Iwambi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili Mwanafunzi wa kiume wa darasa la pili . . .
Mwanamke mmoja kutoka Mji Mema, Songea, Tanzania, amejawa na huzuni baada ya mtoto wake kupotea akiwa kwenye sehemu yake eneo la kazi. Gabriella alikuwa akifanya kazi kwenye saluni yake Jumatatu, . . .
Mzozo kati ya wanasiasa wawili ulisababisha hali ya mtafaruku katika Bunge la Uganda, na kusababisha kusimamishwa kazi kwa wabunge 12. Kulingana na Monitor, pambano lilizuka kati ya Mbunge wa Man . . .
Watu takriban 40 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel mashariki mwa Lebanon siku ya Jumatano, kwa mujibu wa wizara ya afya ya Lebanon.Afisa wa Israel alisema mashambulizi hayo, yaliyofanyika . . .
Kijiji cha Ugenya, Kaunti ya Siaya, kimepigwa na mshangao kufuatia kifo cha watu wanne wa familia moja katika muda wa chini ya wiki mbili. Wanafamilia watatu, akiwemo mama, mwanawe na mumewe, wal . . .