Ashikiliwa Kwa Kumuua MTOTO na Kumficha Uvunguni

Kwa mujibu Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, SACP Justine Masejo, Mariam alitoweka baada ya kutumwa dukani asubuhi, jambo lililosababisha Wazazi wake waanze kumtafuta

Baada ya uchunguzi, watuhumiwa Watatu walikamatwa, akiwemo Jaina Mchomvu (Mama Mwenye nyumba) ambaye alikimbilia Mabogini, Moshi-Kilimanjaro kujificha baada ya tukio hilo

Mtuhumiwa Jaina Mchomvu alikiri kutenda mauaji hayo baada ya kukamatwa. Taarifa ya Polisi imesema Uchunguzi unaendelea kwa ushirikiano na Mamlaka mbalimbali ili kubaini chanzo cha tukio hilo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii