BONIFACE JACOB KUENDELEA KUSOTA RUMANDE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Oktoba 1, 2024 imetupilia mbali maombi ya Serikali yaliyowasilishwa wiki iliyopita juu ya kiapo cha ziada kupinga dhamana ya mgombea uenyekiti Kanda ya Pwani, Boniface Jacob.

Licha uamuzi huo Mahakama imesogeza mbele uamuzi juu ya dhamana mpaka tarehe 07 Oktoba 2024.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii