Gaza: Wanawake na watoto zaidi ya Elfu Moja kupokea matibabu barani Ulaya

Wanawake na watoto karibia Elfu Moja wanaohitaji huduma za kimatibabu wanatarajiwa kuondolewa katika Ukanda wa Gaza na kupelekwa barani Ulaya kutibiwa, kwa mujibu wa WHO barani Ulaya.


Taarifa ya Hans Kluge, afisa kutoka shirika la WHO bara Ulaya, inasema mpango huo utaoongozwa na WHO pamoja na mataifa mengine ya EU yanayohusika kwenye shuguli hiyo.

Siku ya Alhamis, wataalam wa uchunguzi kutoka Umoja wa Mataifa katika ripoti yao, walithibitisha kwamba Israeli inalenga kimakusudi vituo vya afya katika Ukanda wa Gaza.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii