Ajali ya basi yaua watu 11 Mbeya

Watu 11 wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejuruhiwa huku wakiwa mahututi kwenye ajali ya basi la abiria yenye namba za usajili T282 CXT Kampuni ya  AN  inayofanya safari zake kutoka Mbeya -Tabora ,eneo la Lwanjiro wilaya ya Mbeya vijijini.


Mganga Mkuu wa wilaya ya Chunya Dr Darson Andrew amesema amepokea majeruhi wanaume sita na wakike watano.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii