Waziri Mkuu wa India Narendra Modi leo anaanzia ziara yake barani Ulaya kwa kuzitembelea Ujerumani, Denmark na Ufaransa huku uamuzi wa serikali yake wa kukataa kulaani uvamizi wa Urusi nchini Ukra . . .
Rais wa Tunisia Kais Saied amesema serikali yake itaunda kamati ya kuandika katiba mpya ya kile alichokiita "taifa jipya" nchini Tunisia. Rais Saied ameyasema haya katika hotuba iliyorushwa kwenye . . .
Mamlaka ya magereza nchini Morocco imekuwa ikitoa mafunzo ya kutokomeza ugaidi tangu mwaka 2017 kwa wapiganaji wa zamani wa kundi la Islamic State (IS) na wengine waliopatikana na hatia ya makos . . .
Afisa wa Ukraine na mashirika ya habari ya serikali ya Urusi wamesema kuwa wanawake na watoto kadhaa wamehamishwa kutoka kiwanda cha chuma ambacho ni ngome ya mwisho ya ulinzi ya mji wa bandari wa . . .
Kiongozi mkuu wa Afghanistan Hibatullah Akhundzada, ambaye alionekana hadharani leo Jumapili ikiwa ni mara ya pili tu katika kipindi cha miaka sita, amewaambia waumini waliokuwa wakisherehekea sik . . .
Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi akiambatana na wabunge kadhaa, amefanya ziara mjini Kyiv katika kuonyesha mshikamano kwa nchi hiyo na kuelezea matumaini kuwa ombi la Rais Joe Biden la kuto . . .
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (Tucta) limemkumbusha Rais Samia Suluhu Hassan ahadi yake ya kuboresha mishahara kwa wafanyakazi na kupendekeza kima cha chini cha mshahara kwa sekta zot . . .
Maelfu ya Wairan wameshiriki kwenye mikutano mikubwa ya maandamano ya umma katika mji mkuu Tehran kuadhimisha siku ya Jerusalem ambayo wanasema ni siku ya kuonesha uungaji mkono wa nchi yao kwa Wa . . .
Shirika la umeme nchini Tanesco, limesema linafanya Tathmini ya utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao ujenzi wake umefikia asilimia 58.84 ukitarajia kukamilika . . .
Niger imeruhusu chanjo dhidi ya malaria iliyotengenezewa Uingereza itolewe kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano, ili kupambana na ugonjwa huo ambao uliua zaidi ya watu 4,000 nchini . . .
Wataalamu wa afya nchini Afrika Kusini wamesema nchi hiyo inashuhudia ongezeko la maambukizo ya ugonjwa wa UVIKO-19 unaosababishwa na aina mpya ya kirusi cha Corona. Mtaalamu wa afya ya umma Salim . . .
Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida leo hii anaanza ziara ya kuyatembelea mataifa ya kusini mashariki mwa bara Asia. Ziara hiyo itakamfikisha kwanza nchini Indonesia na baadaye atazitembelea Vietna . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ameliomba bunge la nchi hiyo kuidhinisha kitita cha dola bilioni 33 kuisadia Ukraine kupambana na Urusi. Ombi hilo linajumuisha dola bilioni 20 kwa ajili ya ulinzi wa Uk . . .
Ikiwa na miaka sita tangu ianzishwe, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amebainisha udhaifu katika ukusanyaji na usimamizi wa mapato katika Halmashauri ya Ubungo . . .
Masharika mawili ya kutetea haki za binadamu ya IHR lenye maskani yake nchini Norway na lile la nchini Ufaransa la ECPM linalopinga. Ripoti ya masharika hayo inaonesha utekelezaji wa adhabu ya kun . . .
TANZANIA na Misri ziko katika hatua ya mwisho ya majadiliano ya kuipatia ufumbuzi changamoto ya utozaji kodi mara mbili kwenye bidhaa zinazoingia au kutoka katika nchi hizo mbili ili kusisimua b . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres yuko mjini Kyiv kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na Waziri wa Mambo ya Kigeni Dymtro Kuleba. Guterres amepangiwa pia k . . .
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz atakutana leo na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida mjini Tokyo katika ziara yake ya kwanza barani Asia tangu alipoingia madarakani. Scholz, ambaye aliondoka Berli . . .
Marekani na Russia Jumatano wamebadilishana wafungwa licha ya uhusiano wao wenye mvutano mkali kutokana na vita vya Ukraine. Mwanajeshi wa zamani wa Marekani Trevor Reed ameachiliwa huru baada y . . .
Kampuni kubwa ya mtandaoni ya Google imetangaza mwezi huu itafungua kituo chake cha kwanza cha kutengeneza bidhaa barani Afrika kitakachokuwa na makao yake katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi. Kam . . .
Rais wa Mistri Abdel Fattah al-Sisi amemusamehe mwanahabari aliyefungwa jela kwa “kusambaza habari za uongo”, pamoja na zaidi ya wafungwa 3,000, vyombo vya habari vya ndani na maafisa wamese . . .
Tukio la maporomoko ya udongo lilitokea katika wilaya ya Kadutu, huko Bukavu jioni ya Jumatatu Aprili 25 na kuua watu wanane, akiwemo mwanamke mjamzito na mwanafunzi, na tisa kujeruhiwa vibaya. Ny . . .
Waasi wa Tigrayan wa TPLF wamejiondoa kabisa kutoka eneo la Afar kaskazini mashariki mwa Ethiopia. Walikuwa wamekalia eneo la kaskazini mwa jimbo hili tangu mwishoni mwa wa Januari, wakitaka kujih . . .
Kampuni kubwa inayotengeneza ndege zisizo na rubani, DJI, inatangaza "kusitishwa" kwa shughuli zake za kibiashara nchini Urusi na Ukraine, na kuwa moja ya kampuni chache za Kichina kuchukua hatua . . .
Marekani imeongoza jana mkutano wa zaidi ya nchi 20 katika kituo cha jeshi la anga la Marekani cha Ramstein magharibi mwa Ujerumani na kujadili kuhusu kuimarisha ulinzi wa Ukraine wakati ina . . .
WarsawUkraine imeituhumu Urusi kuwa inaihujumu Ulaya kwa kusitisha usambazaji wa gesi nchini Poland na Bulgaria wakati mzozo nchini Ukraine ukiendelea kutokota. Andriy Yermak, mkuu wa utumishi kat . . .
MAKAMU wa Rais wa Marekani Kamala Harris amekutwa na Korona, taarifa imetolewa na Ikulu ya Marekani. Makamu huyo wa Rais alikamilisha dozi zote mbili za Uviko-19 akitumia chanjo aina ya Moderna Cov . . .
Tanzania inatarajia kushiriki maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari unaoonekana kuongezeka baada ya kudumaa katika miaka mitano iliyopita.Tanzania ilipitia wakati mgumu wa uhuru wa vyombo vya . . .
Serikali imeanza mchakato wa mapitio ya sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 na kuboresha mitaala ya elimu ili iweze kuwajengea uwezo wanafunzi kuwa na stadi za ujuzi katika shule 123 zilizokuwa . . .
Maafisa wa afya wa Ulaya wamesema leo hawajagundua chanzo cha ugonjwa wa ajabu wa homa ya ini kwa watoto. Jumla ya watoto 190 wanaougua ugonjwa huo ambao asili yake haijulikani wameorodheshwa na 1 . . .