Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewapongeza wajumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya watu na Makaazi kwa hatua waliyofikia katika maandalizi ya Se . . .
Benki ya dunia Jumatatu imesema kwamba uchafuzi wa hewa mashariki ya kati pamoja na kaskazini mwa Afrika unasababisha hasara ya dola bilioni 141 za kimarekani kila mwaka.Kiasi hicho ni takriban as . . .
Watumishi wa Umma mkoani Mwanza wamempongeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kwa hatua yake ya kuunda kikosi kazi maalum cha wata . . .
Kufuatia kuwepo kwa wimbi la matukio ya mauaji jijini Mbeya, Jeshi la Polisi mkoani humo limewatia nguvuni watu 22 kwa tuhuma za kuhusika na vitendo hivyo, huku likitoa mwelekeo wa namna ya kumal . . .
Mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran yanatarajiwa kuendelea tena Jumanne (08.02.2022) mjini Vienna, Austria baada ya kusitishwa mwishoni mwa mwezi Januari.Marekani imesema inawezekana mkata . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara imeahirisha kesi ya mauaji inayowakabili maofisa saba wa polisi mkoani Mtwara imeahirishwa hadi Februari 22, 2022 itakapotajwa tena.Watuhumiwa hao saba wanadaiwa k . . .
Agizo la Rais Samia Suluhu la kumtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda kamati kuchunguza matukio ya mauaji mkoani Mtwara na Kilindi, Tanga limewaibua ndugu wa askari mwingine, Linus Mzema aliye . . .
Majambazi wawili waliokuwa na visu waliingia katika shule ya upili nchini Uswidi siku ya Jumatatu na kuiba kompyuta za wanafunzi, vyombo vya habari vya ndani vimeripoti.Watu hao waliojifunika nyuso . . .
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) linasema watu milioni 13 kote katika Pembe ya Afrika wanakabiliwa na njaa kali kutokana na kuendelea kwa ukame.Mavuno yaliyoshindikan . . .
Wakuu wa Idara wa hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwl.JK Nyerere wametakiwa kuweka mkakati wa kuboresha huduma za afya kwenye hospitali hiyo.Hayo yamesemwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya A . . .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Innocent Bashungwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani kwa kuwezesha ujenzi . . .
Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira, amesema Rais Samia aachwe amalizie vipindi viwili vya urais kama ilivyo utamaduni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).Aliyasema hayo jana mkoani Mara a . . .
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amepuuzilia mbali tetesi kuwa muungano wa One Kenya Alliance (OKA) umetoa masharti ya kujiunga na mrengo wa Azimio la Umoja.Akizungumza mtaani Huruma, Kaunt . . .
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hali ya UViKO-19 nchini katika kipindi cha tarehe 29 Januari hadi 4 Februari, 2022, jumla ya 6,938 walipimwa na watu 206 walithibitika kuwa na Virusi vya . . .
Wakuu wa Idara wa hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwl.JK Nyerere wametakiwa kuweka mkakati wa kuboresha huduma za afya kwenye hospitali hiyo. Hayo yamesemwa leo Februari 7, 2022 na Kati . . .
Mojawapo ya mambo ambayo watu wengi huwa na hamu ya kujua ni masuala yanayohusiana na ulinzi wa viongozi .Katika hili Marekani ni mojawapo ya nchi ambazo zimetenga kiasi kikubwa cha fedha katika . . .
Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS) kitaendelea kufanya kazi hadi 2030, kabla ya kutumbukia katika Bahari ya Pasifiki mapema 2031, kulingana na Nasa.Katika ripoti ya wiki jana, shirika l . . .
Mnamo Novemba 2020, msafara uliokuwa umembeba Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi mashuhuri zaidi wa nyuklia wa Iran, ulishambuliwa. Aliuawa kwa bunduki iliyoelekezwa kwa njia ya teknolojia.Kufany . . .
Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumwagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda kamati maalum ya kuchunguza mauaji ya aliyekuwa mfanyabiashara wa madini, mama wa mfanyabiashara huyo a . . .
Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali umeridhia na kupitisha ombi la Tanzania la kutaka Kiswahili kuwa lugha ya kazi katika Umoja huo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. . . .
KATIKA kuboresha mazingira ya utoaji huduma za mawasiliano nchini Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wiki hii imetangaza maboresho ya Kanuni za Miundombinu ya Utangazaji . . .
Mwalimu Albert Kaguli (43) wa shule ya Msingi Kisokwe wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma amekutwa ameuwawa kwa kupigwa nan a kitu kizito kichwani."Tukio la leo kwa kweli ni tukio la huzuni na ote . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi katika mradi wa miundom . . .
Waziri wa uchumi wa Ujerumani Robert Habeck amelihimiza taifa hilo kupunguza utegemezi wake wa gesi asilia kutoka Urusi wakati kukiwa na wasiwasi kuhusiana na mzozo wa Ukraine.Matamshi yake yali . . .
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa Kimbunga Batsirai katika maeneo ya kusini Magharibi mwa bahari ya Hindi. TMA imesema Kimbunga hicho tangu kilipojitokeza kati . . .
Shirika la Utangazaji la Ujerumani - DW limeapa kuchukua hatua ya kisheria baada ya Urusi kulipiga marufuku kuendesha shughuli zake nchini humo. Wizara ya Mambo ya Kigeni ya Urusi imetangaza jana kuwa . . .
Mbunge wa Bunda Vijijini, Mwita Getere ameibua tena sakata la wabunge kudai mikataba ya miradi mikubwa ipelekwe bungeni ili waipitie.Katika swali la msingi mbunge huyo ameitaja mikataba ya m . . .
Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema inao ushahidi kuhusu mpango wa Urusi kutoa mkanda bandia wa video, ikionyesha kitakachoelezwa kuwa ni shambulizi la Ukraine, ili iutumie kama kisingizi . . .
Vijana na wananchi mbalimbali nchini wameshauriwa kwenda Makumbusho ya Azimio la Arusha kujifunza misingi muhimu iliyowekwa na waasisi wa nchi hii wakiongozwa na Hayati Baba wa Taifa Mwl Julia N . . .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Prof. Godius Kahyarara amewaonya wasambazaji wa bidhaa za vifaa vya ujenzi kutokupandisha bei kwakuwa ni kosa la kisheria kupandisha bei z . . .