Kanisa la Angalikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza, limewataka watanzania kumrejea mwenyezi Mungu kwa kuepuka vitendo vya mmomonyoko wa maadili, ili kulinda tunu ya amani, umoja na mshikama . . .
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametangaza kuondolewa kazini Wakurugenzi watano wa Bohari ya Dawa (MSD), kufuatilia malalamiko mengi ambayo yamekuwa yakitolewa na wabunge na wadau wengine kuhusu ute . . .
Benki ya dunia itaipa serikali ya Ethiopia kima cha shilling dolla millioni 300, zitakazotumika kusaidia kujenga upya maeneo yalioharibiwa kutokana na vita hasa katika jimbo . . .
Umoja wa mataifa umesema idadi ya watoto wanaokabiliwa na utapia mlo inazidi kuongezeka kidunia, hali hii ikichangiwa na janga la Uviko 19, mabadiliko ya tabia nchi na mizozo . . .
Kundi la wanamuziki la Sauti Sol limetishia kushtaki muungano wa Azimio la Umoja kwa kutumia wimbo wao wa Extravaganza bila idhini yao.Katika taarifa iliyotiwa sahihi na wanamuziki wanne wa kundi hilo . . .
Vikosi vya Marekani vilivyopewa jukumu la kukabiliana na kundi la kigaidi la al-Shabab havitalazimika tena kusafiri hadi Somalia kutoka nchi jirani baada ya maafisa kutengua uamuzi ambao maafisa . . .
Makamu wa Rais wa Marekani kamala Harris na waziri wa mambo ya nje Marekani Antony Blinken siku ya Jumatatu waliwasilisha rambirambi kwa familia ya marehemu Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UA . . .
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewataka viongozi wa Serikali kuzima magari yao wanaposhuka badala ya kuyaacha kwa muda mrefu yakiwa yanaendelea kunguruma huku wao wakiwa wanaendelea na shughuli . . .
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh amependekeza kufutwa kwa baadhi ya vipengele katika Katiba ya nchi, ili kuongeza udhibiti wa matumizi ya fedha za umma. . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema atayaomba mabara ya Afrika na Asia yamuunge mkono. Zelensky amesema habari juu ya mahitaji ya nchi yake zinapaswa kutangazwa katika nchi zote muhimu kw . . .
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amatangaza mabadiliko ya ratiba ya Bunge akisema ni makubaliano ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Dk Tulia ametangaza mabadiliko hayo leo . . .
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amesema nchi yake imefanya maandalizi yote ya mchakato wa uidhinishaji wa haraka iwapo Finland na Sweden zitaamua kuomba uanachama wa Jumuiya . . .
Korea Kaskazini leo imeripoti vifo 15 zaidi kutokana na kile ilichokiita homa, siku chache baada ya kuthibitisha rasmi maambukizo yake ya kwanza kabisa ya virusi vya corona na kuagiza vizuizi vika . . .
SERIKALI imeuelekeza uongozi wa Kampuni ya Gas Entec Tanzania ambayo inajenga meli mpya ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu kuzingatia makubaliano yote yaliyomo kwenye . . .
Mahakama ya mwanzo mjini Kigali imeamua kuendesha kesi dhidi ya mwandaaji wa shindano la urembo la Rwanda -Miss Rwanda faraghani ili kuwalinda mashahidi, amesema jaji.Dieudonné Ishimwe, al maaruf . . .
Muuguzi wa Kenya ameshinda tuzo ya kwanza kuwahi kuepo ya uuguzi duniani ambayo ina zawadi ya $250,000. Anna Qabale Duba, ambaye anafanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Marsabit kaska . . .
Mnadhimu mkuu wa jeshi la Mali, Jenerali Oumar Diarra, alhamis Mei 12 amehitimisha ziara ya siku tatu ya kikazi nchini Rwanda, ambapo pia alikutana na rais Paul Kagame, lengo likiwa ni kuimarisha . . .
Serikali ya Marekani imeonya kuhusu uwezekano kwa kutoka kwa shambulio la kigaidi katika eneo la Goma, Mashariki mwa nchi ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo sehemu ambao imekuwa ikishuhudia onge . . .
Shirika la Umoja wa Mataifa lenye kuwahudumia wakimbizi UNHCR limesema zaidi ya watu milioni 6 hadi sasa wameikimbia Ukraine tangu Urusi ianze uvamizi wake dhidi ya taifa hilo.Kadhalika shirika hi . . .
Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amesema yupo tayari kufanya mazungumzo na Rais Vladimir Putin wa Urusi katika kufanikisha makubaliano lakini pasipo masharti.Akizungumza na televisheni ya taifa . . .
Shirika la habari la Korea Kaskazini (KCNA) leo Ijumaa limethibitisha kifo cha kwanza cha Covid 19, ikiwa takwimu za kwanza kutolewa rasmi siku moja baada ya nchi hiyo kuthibitisha mlipuko wa kw . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Alhamisi ameyaomba mashirika ya kimataifa yanayosaidia katika mpango wa chanjo dhidi ya virusi vya corona kuanza kununua chanjo zinazotengenezwa Afrika, ili . . .
Viongozi wakuu wa Finland wamesema hii leo kuwa wanaunga mkono taifa hilo kuomba uanachama wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO hatua inayofungua njia ya kutanuka kwa muungano huo wa kijeshi baada ya ku . . .
Wademocrats katika baraza la Seneti Jumatano wameshindwa kupitisha muswada wa sheria unaolinda haki ya wanawake kutoa mimba nchini kote kabla ya uamuzi unaosubiriwa wa mahakama ya juu ya Marekan . . .
Mahakama kuu nchini Kenya imesitisha kwa muda utekelezaji wa sheria ya usawa wa jinsia inayovitaka vyama vyote vya kisiasa vinavyotaka kushiriki uchaguzi mkuu wa Agosti 9 viwasilishe usajili wa wa . . .
wito umetolewa kwa vijana hapa nchini kuacha tabia ya kuchagua kazi na kuchangamkia fursa mbalimbali kadri zinavyojitokeza. wito huo umetolewa na mwenyekiti wa vijana mtaa wa swila na nyambulogoya kat . . .
Ikiwa leo ni siku ya wauguzi duniani, Waziri wa Afya ,ummy mwalimu amewashukuru Wauguzi kwa kazi nzuri wanazoendelea kufanya katika kuwahudumia wananchi, huku akitoa wito kwao kuendelea kutimiza wajib . . .
Waziri wa mambo ya kigeni wa Urusi Urusi Sergei Lavrov amekutana na rais wa Algeria Abdelmadjid Tebboune mjini Algiers jana usiku wakati wa ziara yake kwenye taifa hilo la kaskazini mwa Afrika amb . . .
Mwanzilishi mwenza aliyestaafu wa Microsoft na mfadhili mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Bill Gates amepimwa na kukutwa na UVIKO-19, na atajitenga hadi atakapopona. Tangazo hilo lilikuja wak . . .
Tajiri anayetarajiwa kuwa mmiliki wa kampuni ya Twitter Jumanne amesema atamuruhusu rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kutumia tena akaunti yake ya Twitter. Musk ambaye anapanga kuin . . .