Kanisa la Angalikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza, limewataka watanzania kumrejea mwenyezi Mungu kwa kuepuka vitendo vya mmomonyoko wa maadili, ili kulinda tunu ya amani, umoja na mshikamano iliyojengwa na wahasisi wa Taifa.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe