logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Burudani

  • Pata Habari Zote Za Burudani Hapa
news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 30, 2023

TMAAwards2022: Kontawa msanii bora chipukizi

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.Msanii @kontawaa amebeba tuzo ya . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • April 28, 2023

Kendrick Lamar Aivunja Rekodi Hii ya Drake

Kendrick Lamar ameivunja rekodi ya Drake, kwa kuwa rapper mwenye ziara ya muziki iliyotengeneza mkwanja mrefu zaidi.Kwa mujibu wa Touring Data, Big Steppers ya K.Dot ndiy . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 26, 2023

Mama Wa AKA Azungumza

Miezi miwili tangu kifo cha ghafla cha msanii wa Afrika Kusini, Kiernan Jarryd Forbes maarufu kama AKA, familia yake imezungumzia nyakati zao za mwisho kabla ya tukio hil . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 19, 2023

Hamissa Mobetto "Nachukia Wanaume Wanaonifuata na Kuniambia Niwazalie Watoto"

Msanii Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema anachukizwa na baadhi ya wanaume wanaomfata na kumuomba awazalie watoto.Hamisa amesema baadhi ya wanaum . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 18, 2023

Mwanamuziki Dimpoz uso Kwa uso na Tajiri wa Afrika Bwana Dangote

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo 'Ommy Dimpoz' ameshare picha akiwa na tajiri namba moja Afrika, Aliko Dangote.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dimpoz ameweka . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • April 10, 2023

Kimenuka..Sheikh Majini Amtaka Diamond Platnumz Kuondoka Katika Dini ya Uislam Kisa Bibilia"

“Kama Uislamu Umekushinda Ondoka nenda kwenye Dini inayokufaa tuachie Waislam Dini yetu, Hii ni Dini ya Mwenyezi Mungu” – Sheikh Shareef Majini amefunguka kwenda kw . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 9, 2023

Msanii Grand P Apata Kidosho Mwingine Baada ya Kumtoka Euxodie

Msanii maarufu nchini Guinea Grand P amemtoka kidosho mwenye umbo kali Eudoxie.Grand P na Eudoxie walikuwa wamezua gumzo mitandaoni na penzi lao moto huku picha za mahaba . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 6, 2023

Abigail Chams "Wasanii Wananitongoza Sana"

Abigail chams amekiri kuwa wasanii wamekuwa wakimtongoza lakini yeye anachukulia ni kawaida na ni asili ya mwanadamu akimuona binti mzuri basi atajaribu bahati yake.Hata . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • March 31, 2023

Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Davido Rasmi Ameachia Album yake

Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Davido Rasmi ameachia Album yake mpya ya #TIMELESS baada ya kukaa kimya kwa muda, ndani ya Album hiyo yenye ngoma 17 Mastaa kama #Asa . . .

news
Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • March 17, 2023

MSANII HOMA HOMA TOKA NCHINI CONGO AVUTIWA NA RAYVANNY

Msanii wa muziki na mzaliwa kutoka nchini Congo ambaye makazi yake ni nchini ubeligiji ,homa homa ambaye amekuwa akifanya muziki kwa miaka kadhaa ameakuja kivingine na ku . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 17, 2023

Stamina "Wanaume tunaongoza kwa usaliti"

Msanii wa muziki wa Hip hop Stamina Shorwebwenzi ambaye ndoa yake ilidumu kwa miezi 7 amefunguka ya moyoni kueleza jinsi vijana wengi wanavyopitia magumu kwenye mais . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • March 14, 2023

Hawa ndio wasanii wanaohitaji kiasi kikubwa Cha fedha ili kufanya Nao kolabo

Katika orodha iliyotolewa kwa rapa wa Marekani wanaochaji kiasi kikubwa cha fedha ili uwashirikishe, Wakongwe wawili Jay Z pamoja na Kanye West imeelezwa kuwa wao wanacho . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • March 12, 2023

Mwanamuziki Costa Titch Afariki Akitumbuiza Jukwaani

Afrika Kusini inaomboleza kifo kingine cha mwanamuziki maarufu. Kwa mujibu wa taarifa za mitandao ya kijamii, rapa Costa Tsobanoglou maarufu kwa jina la kisanii Costa Tit . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 10, 2023

Shilole atumia zaidi ya Tsh Mil. 90 kuurudisha mgahawa

Msanii wa muziki na Mjasiliamali, Shilole amefanikisha kuurudisha mgahawa mpya wa Shishi Food Mabatini, Kijitonyama jijini Dar Es Salaam baada ya ule wa awali ambao uliku . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • March 3, 2023

Paula Kajala Ameolewa

Supastaa kajala frida ametangaza binti yake Paula ameolewa yaani paulah kajala kwa sasa ni mke wa mtu.Posti hiyo ya Kajala ambayo imewashangaza wengi mtandaoni, hata hivy . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 27, 2023

Orodha ya wanamuziki 10 kutoka Tanzania Waliotazamwa zaidi katika mtandao wa YouTube January 2023

Orodha ya wanamuziki 10 kutoka Tanzania Waliotazamwa zaidi katika mtandao wa YouTube ndani ya mwezi January 2023.1. @DiamondPlatnumz 31.7M2. @Rayvanny 20.5M3. @harmonize_ . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • February 21, 2023

FLODA GRAE NA FIOKEE NDANI YA IYONA LE

Floda grae ni moja ya mwimbaji wa muziki wa afro beat kutoka nchini afrika ya kusini ambaye amejikita zaidi nchini nigeria ambapo amekuwa akifanya shughuli zake za kimuzi . . .

news
Flamu/Movie
  • Na Nattyebrandy
  • February 21, 2023

GABRIEL UNION:NILITAMANI KUSHEREHEKEA MIAKA HAMSINI NIKIWA AFRIKA.

Mwigizaji na mwanamitindo kutoka nchini marekani Gabriel union ambaye pia ni mke wa mcheza mpira wa kikapu mstaafu Dwayne wade ameweka wazi katika mahojiano aliyofanya hi . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 17, 2023

Rais Ramaphosa Akataa Rapa AKA Kufanyiwa Mazishi ya Kitaifa

Vyombo vya Habari vya AfrikaKusini vimeripoti kuwa Gavana wa Serikali ya Gauteng Panyaza Lesufi, alimwandikia Rais #Ramaphosa ombi la Msanii huyo kuzikwa kama Mtu mwenye . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 15, 2023

Mbosso Apata Ajali ya Gari Marekani

Mbosso Amenusurika Kifo baada ya Kupata Ajali huko Marekani, Kupitia ukurasa wake wa Instagram Staa huyo ameshare video zikionesha gari alilokuwa amepanda likiwa limehari . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 10, 2023

Drake ahusishwa na mauaji ya rapa XXXtentacion

Chini ya miezi miwili baada ya timu ya utetezi ya Dedrick Williams – mmoja wa washukiwa watatu katika kesi ya mauaji ya XXXtentacion – kuorodhesha mauaji ya wasanii k . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 8, 2023

Harmonize Aweka Tangazo la Bango Barabarani Kuwa Yupo Single Tena

Kuandika Instagram pekee kuwa yupo single haijatosha kwa msanii @harmonize_tz ameendeleza Tena utaratibu wake wa kuwa kwenye mabango!Boss huyo wa Konde Gang mara hii ajiw . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 7, 2023

Diddy Amchana Burna Boy "Nilikusaidia Ushindi Grammy Mwaka Jana, Mwaka Huu Ulizani Utashinda Grammy Bila Mimi? "

Rapa Diddy amekanusha uvumi wa kuwa amemchana Burna Boy baada ya kushindwa kuondoka na Tuzo ya Grammy mwaka huu. Taarifa hiyo ilionekana mitandaoni ikionesha imetoka kwen . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 6, 2023

Msanii burna boy arudi akiwa mikono mitupu

Mwimbaji, na mtunzi kutoka nchin Nigeria Burna Boy amepoteza vipengele viwili alivyoteuliwa katika toleo la 65 la tuzo za Grammy 2023, zinazo enedelea Muda huu kwenye uku . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • February 6, 2023

Mwambaji Beyonce Avunja Rekodi Tuzo za Grammy

Baada ya kushinda tuzo ya Albamu Bora ya Muziki ya Dansi/Elektroniki, @beyonce sasa anashikilia rekodi ya wakati wote ya ushindi mwingi wa #Grammy @recordingacademy rekod . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • February 1, 2023

Rushaynah Atua Dar es salaam

Aliyekuwa mke wa hajismanara , rushaynah ametua Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kuongea na waanishi wa habari.Mrembo huyo amefika katika eneo hilo akiwa na walinzi.Rusha . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 31, 2023

Mtoto wa Shilole Amuheshimisha Mama yake, Agonga 'Division one' Kidato cha nne

Shilole ambaye yeye binafsi hakuwahi kufika hata kidato cha nne sababu ya kukumbana na changamoto za kimaisha katika umri mdogo, amejitosa kusherehekea mwanae kufaulu . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 29, 2023

msanii Ruby ameuthibitishia uma kuwa yeye ni mjamzito.

Mwimbaji nyota wa muziki nchini, msanii Ruby ameuthibitishia uma kuwa yeye ni mjamzito. @iamrubyafrica ame-share picha hiyo inayoonesha ukubwa wa tumbo lake kupitia kuras . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 27, 2023

Dr Mwaka Agoma Kuachwa, Licha ya Masheikh Kuvunja Ndoa Hiyo

Dr.Mwaka hajakubali kuachwa ageuka mbogo, adai yeye hajatoa talaka kwa Queen na atamshitakimtu yeyote anakayejitosa kumuoa, awalipua masheikh wa mkoaDr Mwaka amegeuka Mbo . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 25, 2023

Burna Boy ampa Mwandishi wa Habari Milioni 4.6

Staa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria Burna Boy ametajwa kumpa Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Zaidi ya Milioni 4 kwa ajili ya kwenda kurekebisha Camera yake ambayo aliian . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 17, 2023

Wanasheria wa Kanye West Wamchoka..Wamtema Kupitia Gazeti

Timu ya Wanasheria wa Kanye West wamepanga kutumia njia ya Gazeti kumfikishia taarifa rapa huyo kuwa wamemtema rasmi na hawatamuwakilisha tena kwenye masuala yake ya Kima . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 11, 2023

Haji manara aweka wazi kuachana na mke wake mdogo

Mdau wa michezo hajismanara ametoa ya moyoni juu ya kuachana na aliyekuwa Mke wake mdogo rushaynah.Haji amekiri kuachana na Rushayna na ameweka wazi kuwa hayupo tayari ku . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • January 6, 2023

'WATAPATA HASARA SISI TUKIONGEA' MENEJA WA HARMONIZE JEMBE NI JEMBE

Amefunguka juu ya kuondoka kwa wasanii kwenye Lebo ya Konde Gang ikiwa ni pamoja na "machawa'Meneja wa Harmonize ambaye pia ni CEO wa Jembe Media Limited inayomiliki kitu . . .

Kurasa 6 ya 12

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Majaliwa na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire Wajadili Ushirikiano wa Kiuchumi na Kilimo

    • 3 masaa yaliopita
  • Rais Maskini Zaidi Duniani Afariki Akiwa na Umri wa Miaka 89

    • 3 masaa yaliopita
  • PAMBA JIJI YAISHUSHA DARAJA KAGERA SUGAR, YANGA KAMA KAWAIDA

    • 24 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode