DUA LIPA KATIKA PENZI JIPYA NA MWIGIZAJI CALLUM TURNER

Mwimbaji wa muziki kutoka nchini marekani dua lipa inawezekana rasmi amezama katika mahaba na mwigizaji kutoka nchini uingereza ambaye anafahamika kwa jina la callum turner

Dua lipa na callum kwa mara kadhaa tofauti wamenaswa na kamera za wadukuzi katika maeneo mbali mbali ikiwemo wakitoka katika moja ya mgahawa huko mjini Los Angeles.



Dua lipa na callum walionekana katika mahaba tofauti tofauti huku wakipeana busu hadharani pasi na kujali mapaparazi katika eneo hilo.

 

 

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii