Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Nabeer ambaye alikuwa ni Dereva wa gari lililombeba mwanamuziki @chino_kidd7 na wenzake amefariki dunia
Nabeel amefariki dunia Alfajiri ya leo kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye ajali hiyo siku ya jana
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii