"Siwezi kuhama nyumbani kwa sababu ya Mama" - Abdu

Member wa Kings Music Records Abdukiba amefunguka hawezi kuhama nyumbani kwao kwa sababu ya Mama yao ambaye hayupo tayari kuwaona wakiwa wanaishi tofauti tofauti pia anapenda awaone kila wakati.

Abdukiba amejibu hilo ndani ya PlanetBongo ya East Africa Radio baada ya kuulizwa kwanini bado anaishi nyumbani kwao mpaka leo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii