Chrisean Rock ataka idadi ya watoto 12

Msanii huyo asiyeishiwa vituko anasema kwa sasa ana mtoto mmoja, mwingine yupo njiani kuja na itabaki idadi ya watoto 10 kuwapata.

Ikumbukwe mtoto wake huyo mmoja alimpata mwezi Septemba akiwa Live Leba kupitia mtandao wa Instagram ili kuonesha tukio hilo la kujifungua kwake.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii