TIWA SAVAGE ATANGAZA UJIO WA FILAMU YAKE YA KWANZA WATER AND GARRI

IKiwa ni siku chache tangu mwimbaji kutoka nchini Nigeria atangaze kumchukulia rb msanii mwenzake ambaye ni davido kufatia vitisho ambavyo amekuwa akikutana navyo na kuweka wazi jambo lolote baya likimpata basi davido atakuwa mshukiwa wa kwanza na yote hayo ni kutokana na matukio ya nyuma yaliyowahi kutokea baina yao.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram tiwa savage ameweka picha ikiambatana na maneno akitangaza ujio wa filamu yake ya kwanza ambaye ameshirikishwa itakayokuwa ikifahamika kwa jina la water and garri.

 â€œJamani, ninayofuraha kubwa kuwatangazia kwamba filamu yangu ya kwanza #WaterAndGarri itatolewa *mwaka huu *kupitia @primevideo na kuonyeshwa katika nchi na wilaya zaidi ya 240 duniani kote 

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii