Ukisikia Dunia ina mambo ndiyo huku sasa! Anastasia Pokreshchuk mwenye umri wa miaka 33; ni mrembo kutoka huko Kiev nchini Ukraine ambaye am . . .
Polisi wa Israel wamempiga risasi na kumuua Mpalestina mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohammed al-Shaham ambaye alijaribu kuwashambulia maa . . .
Ujumbe wa Wabunge watano wa Marekani umekutana leo na Rais wa Taiwan Tsai Ing-Wen mjini Taipei na kuzua hasira ya China, ikiwa ni wiki mbili . . .
Jeshi la Israel limelaumiwa na vyombo vya habari nchini Syria kuhusika na mashambulizi ya anga karibu na mji mkuu Damascus na kusababisha vi . . .
Misri imefanya mazishi ya watu 41 waliopoteza maisha katika mkasa wa moto uliozuka ndani ya kanisa moja la wakristo wa madhehebu ya Coptic w . . .
Wizara ya afya ya Zimbabwe imesema Jumapili kwamba mlipuko wa Surua umeua watoto 80 nchini humo tangu Aprili, wakati ikidai mikus . . .
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umetangaza lJumatatu kuwa siku kuu ya kitaifa ya kuandhimisha mwaka mmoja tangu kuchukua tena madaraka . . .
Wagombea urais, George Wajackoyah kutoka Chama cha Roots na David Waihiga leo, Jumatatu Agosti 15, 2022 wameingia katika ukumbi wa Bomas una . . .
Mafuriko yaliyosababishwa na mvua za msimu nchini Sudan yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 50 na kuharibu makazi zaidi ya 8,170 tangu kuan . . .
Umoja wa Ulaya umesema mamlaka ya Taliban "imekiuka na kudhulumu kwa kiwango kikubwa haki za wanawake na wasichana wa Afghanistan." Hayo yam . . .
Vyombo vya habari nchini Iran vimeripoti kwamba, Iran imemfungulia mashtaka mwanasiasa mwanamageuzi Mostafa Tajzadeh, ambaye aliwahi kufungw . . .
Ni Agosti 14, 202 Benki ya CRDB imefanya Marathon huku mgeni rasmi alikuwa ni Makamu wa Rais Dr Philip Isdor Mpango huku kuhudhuriwa na Vion . . .
Irene Pancras Uwoya; ni mwanamama kinara wa Bongo Movies mwenye mvuto wa kipekee nchini Tanzania ambaye anasema kuwa, huu ni wakati wake wa . . .
KWA miaka na mikaka, suala la mpenzi wa kike kumpiku mpenziwe kipato limeishi kuwa donda ndugu.Uzunguni kidogo hili sio tatizo ila huku kwet . . .
Mataifa ya Venezulea na Colombia kila moja, limeteuwa balozi wake kuyawakilisha katika miji mikuu ya mataifa hayo kwa kujenga upya uhusiano . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa ukarabati na . . .
YANGA wamethibitisha rasmi leo Agosti 12, 2022 kuachana na aliyekuwa Afisa wa habari na mawasiliano wake, Hassani Bumbuli. . . .
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres Alhamisi ametoa wito wa kusitisha harakati za kijeshi karibu na jengo la kiwanda cha nyukli . . .
Polisi wa Afrika Kusini Alhamisi wamesema wamewakamata watu 20 wanaoshukiwa kuwa miongoni mwa watu waliochochea vurugu ambazo zilisababisha . . .
Utadhani unatazama filamu ya kutisha; hivyo ndivyo unavyoweza kusema unapofika Kijiji cha Imbilili Juu, Halmashauri ya Mji wa Babati M . . .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa tena katika mahakama ya hakimu mkazi Mos . . .
Pacha aliyesalia ‘Rehema’ kati ya mapacha wawili waliotenganishwa Julai Mosi mwaka huu, amefariki dunia jana saa 5 asubuhi Agosti 11, wa . . .
Mamlaka nchini Mali zimetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kuanza leo, baada ya mashambulizi mawili yaliyofanywa na makundi ya Kiisl . . .
Klabu ya Simba imeomba radhi kwa Waumini wa Dini ya Kikristo, Viongozi wa Madhehebu yote ya Kikristo, Serikali, Shirikisho la Mpira wa Miguu . . .
Elizabeth Cheleo mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa mtaa wa Nsemulwa, Kata ya Nsemulwa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, amepoteza maisha kwa ku . . .
Muqtada al-Sadr anaendelea na mapambano yake na wapinzani wake wa kisiasa nchini Iraq. Mhubiri huyo wa Kishia anatoa wito wa kuvunjwa kwa Bu . . .
Wakenya kwa siku ya pili leo, bado wanasubiri matokeo ya uchaguzi wa urais, baada ya kupiga kura siku ya Jumanne. Maafisa wa tume huru . . .
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump Jumatano amekataa kujibu masuali katika uchunguzi kuhusu utaratibu wa biashara ya familia yake, akit . . .
Maafisa wawili wa polisi wameuawa Jumatano nchini Sierra Leonne baada ya maandamano dhidi ya hali ngumu ya uchumi kugeuka kuwa mapambano kat . . .
Maelfu ya waandamanaji wenye hasira nchini Afrika Kusini waliwasaka wachimba migodi wasiokuwa na vibali baada ya ubakaji wa wanawake wanane . . .
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake haina mpango wa kukata maeneo kwa kuyapandisha hadhi, badala yake wanajielekeza . . .
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu lililo na makao yake mjini London Amnesty International, limesema kuwa vikosi vya Ukraine v . . .
Spika wa baraza la wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi amesema leo mjini Tokyo kuwa Marekani "haitairuhusu" China kuitenga Taiwan, baada ya . . .
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imesema inaangalia mpango wa kuzipa kipaumbele na kuziwezesha kiuchumi runinga za mtandaoni kupitia mfu . . .
Mzazi aliyepokea mahari ya kumuoza binti wa miaka 15 ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Sekondari ya Makang’wa, ametem . . .
Hukumu ya mchezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani Brittney Griner kwenda jela miaka 9 nchini Urusi kwa ulanguzi wa madawa ya kulevya, katika . . .
Mjumbe wa Markani kwenye Umoja wa Mataifa Alhamisi ameanza ziara yake barani Afrika, akisema kwamba madhumuni yake ni kutadhmini namna Marek . . .
Viongozi wa Sudan Kusini Alhamisi wamesema kwamba serikali itabaki madarakani kwa miaka miwili zaidi, ili kukamilisha mageuzi ya . . .
Kocha msaidizi na mtaalamu wa viungo Simba, Karim Sbai amesema kwa muda wa wiki mbili aliokuwa kwenye kikosi hicho amefanikiwa katika maeneo . . .
Morrison ameanza kazi rasmi Yanga na leo akiingia siku ya nne mazoezini, lakini kocha mmoja fundi wa mazoezi ameshtukia kitu kwa winga huyo . . .