Yanga Wathibitisha Kuachana na Hassani Bumbuli, Aliyekuwa Afisa wa Habari na Mawasiliano

YANGA wamethibitisha rasmi leo Agosti 12, 2022 kuachana na aliyekuwa Afisa wa habari na mawasiliano wake, Hassani Bumbuli.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii