logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Marekani yapeleka ujumbe Kenya kukiwa na mzozo wa baada ya uchaguzi

Ujumbe wa bunge la Marekani upo nchini Kenya kukutana na rais mteule na kiongozi wa upinzani ambaye anatarajiwa kuwasilisha kesi mahakamani . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Rais wa Ukrain Alaani Mashambulio ya Urusi Dhidi ya Nchi Yake

RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani shambulio dhidi ya makazi ya watu katika mji wa pili kwa ukubwa nchini humo, ambalo alilitaja ku . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Gavana wa benki kuu ya Misri ajiuzulu

Shirika la habari linalomilikiwa na serikali ya Misri limesema kwamba kiongozi gavana  wa benki kuu Tareq Amer amejiuzulu Jumatano . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Serikali yatangaza mapumziko siku ya Sensa

 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Agosti 23, 2022 kuwa siku ya mapumziko. Lengo . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 18, 2022

Chad yapinga maandamano ya upinzani

Viongozi wa kijeshi nchini  Chad wamepiga marufuku maandamano ya upinzani yaliyopangwa baadaye wiki hii, kwa madai ya kuchelewa ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Watunisia waunga mkono katiba mpya: matokeo ya mwisho

Matokeo ya mwisho ya kura ya maoni yenye utata inayoipa mamlaka makubwa ofisi ya Rais wa Tunisia Kais Saied yameonyesha kuwa ni asilimia 94. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Kampeni za uchaguzi wa rais nchini Brazil zazinduliwa rasmi

Kampeni za uchaguzi wa rais nchini Brazil zinaendelea huku rais wa zamani Luiz Inacio Lula da Silva akiongoza kura za maoni ya umma dhidi ya . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Jaguar Arejelea Muziki baada ya Kushindwa Kutetea Kiti Chake, Atoa Kibao Kipya.

Mwanamuziki Charles Njaguar Kanyi almaarufu Jaguar ametoa wimbo mpya wa kuvutia na mwimbaji wa Uganda, Ambassada.Baada ya uteuzi uliokuwa na . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Katibu Mkuu wa UN kukutana na viongozi wa Ukraine, Uturuki mjini Lviv

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres atakutana na viongozi wa Ukraine na Uturuki kesho, ili kutathmini utekelezaji wa mkataba ul . . .

SOKA ULAYA
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Elon Musk kuhusu kuinunua Manchester United, hapana nilikuwa natania

Bilionea namba moja duniani mwenye utajiri wa $265.7 bilioni Elon Musk amekanusha kuhusu kuinunua klabu ya Manchester United baada ya kuandi . . .

SOKA ULAYA
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Man United Yaachana na Rabiot Kisa Mshahara Mkubwa, Yamfungia kazi Casemiro

Baada ya mazungumzo kwa siku kadhaa na klabu ya Juventus pamoja na muwakilishi wa mchezaji Adrien Rabiot ambaye ni mama yake, Klabu ya Manch . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Guterres apongeza uchaguzi wa Kenya

Katibu Mkuu  wa Umoja  Antonio Guterres Jumanne  alizungumza na rais mteule wa Kenya William Ruto kwa njia ya simu, . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Surua yaendelea kusambaa Zimbabwe

Zimbabwe imesema Jumanne kwamba mlipuko wa Surua nchini humo kufikia sasa umeua takriban watoto 157, huku kukiwa na zaidi ya maambukizi 2,00 . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Maadhinisho ya wachimba migodi waliouwawa Afrika kusini miaka 10 iliyopita yafanyika

Hali ya huzuni ilitanda Jumanne wakati wa mkusanyiko wa takriban watu 5,000  nchini Afrika kusini wakiadhimisha miaka 10 ya kile k . . .

UTALII
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA PHILIP MPANGO AKABIDHI MALORI TANAPA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango amewasili Hifadhi ya Taifa Mikumi mkoani Morogoro leo kwenye . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 17, 2022

Tanesco kuzima mfumo wa ununuzi Luku siku nne

Wananchi hawataweza kununua umeme kwa njia ya Luku kwa siku nne, Agosti 22 - 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na mat . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Shaka Anatarajiwa Kukagua Miradi ya Serikali.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewasili mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano kuanzia tarehe . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

50 Wanusurika Kifo Basi Likiteketea kwa Moto

Basi la kampuni ya usafirishaji la Tashrif limeteketea kwa moto asubuhi ya leo tarehe 16 Agosti 2022 wakati likiwa safarini kutoka Tanga Mji . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Raila Odinga Kuhutubia Taifa Leo Adhuhuri Baada ya Rais Kutangazwa.

Kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja one Kenya Raila Odinga ametangaza kuhutubia taifa leo, Jumanne, Agosti 16.Mgombea huyo wa mara tano . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Ujerumani atembelea Tanga

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Ujerumani Dr Bärbel Kofler, amefanya leo ziara ya kihostoria katika jiji la Tanga n . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

FIFA yasitisha shughuli za shirikisho la kandanda la India

Shirikisho la soka duniani FIFA limefahamisha leo kuwa baraza lake "kwa kauli moja limeamua" kusitisha kwa muda shughuli za Shirikisho la So . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Akianguka Kutoka Milima ya Montblanc

BINGWA wa kupanda milima na kuteleza kwenye theluji mwanadada Adele Milloz, 26, afariki dunia baada ya kuanguka kutoka safu za milima ya Mon . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Takriban watu 52 wamefariki dunia

Sudan ilikumbwa na mafuriko katika wiki za hivi karibuni. Kulingana na Baraza la Kitaifa la Ulinzi wa Raia, watu 52 wamefariki dunia tangu m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Japan yaadhimisha miaka 77 tangu tukio la Hiroshima na Nagasaki

Waziri mkuu wa Japan Fumio Kishida Jumatatu amesisitiza ahadi yake  ya kutoingia vitani wakati wa  katika  hafla il . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2022

Maafisa watatu wa Liberia wawekewa vikwazo na Marekani

Wizara ya fedha ya Marekani Jumatatu imesema kwamba Marekani imeweka vikwazo kwa maafisa watatu wa serikali ya Liberia akiwemo kiongozi wa u . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Azikwa akiwa hai huko Madaba.

Mzee Jonas Komba (78) Mkazi wa kijiji cha Mahanje Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Mkoani Ruvuma amezikwa akiwa hai na Wananchi wenye hasira . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Anastasia Pokreshchuk Atumia Mamilioni Kufanya Sajari Ya Mashavu

Ukisikia Dunia ina mambo ndiyo huku sasa! Anastasia Pokreshchuk mwenye umri wa miaka 33; ni mrembo kutoka huko Kiev nchini Ukraine ambaye am . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Israel yamuua Mpalestina mmoja huko Jerusalem

Polisi wa Israel wamempiga risasi na kumuua Mpalestina mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohammed al-Shaham ambaye alijaribu kuwashambulia maa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Wabunge wa Marekani wakutana na rais wa Taiwan na kuichukiza China

Ujumbe wa Wabunge watano wa Marekani umekutana leo na Rais wa Taiwan Tsai Ing-Wen mjini Taipei na kuzua hasira ya China, ikiwa ni wiki mbili . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Wanajeshi watatu wauawa katika shambulio la anga karibu na Damascus

Jeshi la Israel limelaumiwa na vyombo vya habari nchini Syria kuhusika na mashambulizi ya anga karibu na mji mkuu Damascus na kusababisha vi . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Misri yaomboleza vifo vya watu 41 kufuatia mkasa wa moto

Misri imefanya mazishi ya watu 41 waliopoteza maisha katika mkasa wa moto uliozuka ndani ya kanisa moja la wakristo wa madhehebu ya Coptic w . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Mikusanyiko ya kidini yalaumiwa kwa kuenea kwa Surua Zimbabwe

Wizara ya afya ya Zimbabwe imesema Jumapili kwamba mlipuko wa Surua umeua watoto 80 nchini humo tangu Aprili, wakati ikidai  mikus . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Taliban yatangaza Jumatatu kuwa siku kuu ya kitaifa

Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umetangaza lJumatatu kuwa siku kuu ya kitaifa ya kuandhimisha mwaka mmoja tangu kuchukua tena madaraka . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 15, 2022

Wajackoyah, Wahiga watinga Bomas

Wagombea urais, George Wajackoyah kutoka Chama cha Roots na David Waihiga leo, Jumatatu Agosti 15, 2022 wameingia katika ukumbi wa Bomas una . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • August 14, 2022

Mafuriko yasababisha zaidi ya 50 kutpoteza maisha Sudan

Mafuriko yaliyosababishwa na mvua za msimu nchini Sudan yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 50 na kuharibu makazi zaidi ya 8,170 tangu kuan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2022

Utawala wa Taliban waelezwa kuminya uhuru wa wanawake na wasichana

Umoja wa Ulaya umesema mamlaka ya Taliban "imekiuka na kudhulumu kwa kiwango kikubwa haki za wanawake na wasichana wa Afghanistan." Hayo yam . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2022

Iran imempandisha kizimbani mgombea Tajzadeh

Vyombo vya habari nchini Iran vimeripoti kwamba, Iran imemfungulia mashtaka mwanasiasa mwanamageuzi Mostafa Tajzadeh, ambaye aliwahi kufungw . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2022

Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022

Ni Agosti 14, 202 Benki ya CRDB imefanya Marathon huku mgeni rasmi alikuwa ni Makamu wa Rais Dr Philip Isdor Mpango huku kuhudhuriwa na Vion . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2022

Uwoya" Msiniige Mtaumia, Hamjui Nimepitia Msoto Gani Mpaka Kufikia Hapa".

Irene Pancras Uwoya; ni mwanamama kinara wa Bongo Movies mwenye mvuto wa kipekee nchini Tanzania ambaye anasema kuwa, huu ni wakati wake wa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 12, 2022

PENZI LAKUBALI KWA MABOSI HAWA

KWA miaka na mikaka, suala la mpenzi wa kike kumpiku mpenziwe kipato limeishi kuwa donda ndugu.Uzunguni kidogo hili sio tatizo ila huku kwet . . .

Kurasa 98 ya 159

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category