Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango amewasili Hifadhi ya Taifa Mikumi mkoani Morogoro leo kwenye hafla ya kukabidhi Malori maalum kwa TANAPA yatakayotumika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa REGROW.