Kiungo wa zamani wa Leicester na Chelsea Danny Drinkwater alitangaza kustaafu siku ya Jumatatu baada ya kukiri kuwa alikuwa "katika hali ya sintofahamu" kwa muda mrefu sa . . .
Lionel Messi ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kushinda tuzo ya Ballon d'Or ya nane katika maisha yake ya ajabu wakati sherehe za mwaka huu za kutwaa taji la mwanasoka bora . . .
Baada ya timu yake kupoteza mechi ya pili mfululizo, Kocha Msaidizi wa Azam FC, Bruno Ferry amesema wachezaji wake hawakuwa na kiwango bora lakini wataendelea kujifunza k . . .
Mama wa Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa PSG Kylian Mbappe amefichua siri ya mwanaye kwa kusema, aliwahi kuvaa jezi za Manchester United zilizoandikwa jin . . .
Manchester City ikiongozwa na Erling Haaland ilishinda mabao 3-1 dhidi ya Young Boys na kuongoza kundi G, ikifuatiwa na RB Leipzig iliyopata ushindi dhidi ya Red Star Bel . . .
59 mins agoBaada ya kufanikiwa kufunga ‘Hat Trick’ dhidi ya Azam FC Kiungo Mshambuliaji wa Young Africans, Stephane Azizi Ki ameyachambua mabao yake hayo matatu.Aziz . . .
Kinda wa FC Barcelona Marc Guiu ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga bao kwenye mchezo wake wa kwanza kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha timu . . .
Mikel Arteta alifichua Ijumaa kwamba "mfano wa kuigwa" Mauricio Pochettino alimshauri kutojihusisha na ukocha anapoitayarisha timu yake ya Arsenal kuivaa Chelsea.Wanaume . . .
Kiungo wa kimataifa wa England, Jordan Henderson amekiri pesa ndio ilikuwa sababu mojawapo ya kujiunga na Al- Ettifaq kutoka Saudi Arabia.Kiungo huyo wa zamani wa Liverpo . . .
Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya michezo nchini wametakiwa kushirikisha watu wenye Ulemavu katika programu zao za mashindano, mazoezi na katika kuandaa timu ya Taifa. . . .
Imeripokuwa kuwa Kocha Mkuu wa Manchester United, Erik ten Hag, anafikiria kumuweka nje kipa namba moja wa timu hiyo, Andrè Onana.Hatua hiyo imekuja baada ya kuonekana O . . .
Tanzania imepangwa Kundi F pamoja na Morocco, Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Ivory Coast.Kat . . .
Rais wa zamani wa Shiriksho la Soka Duniani (FIFA), Sepp Blatter, amekosoa uamuzi wa shirikisho hilo kubariki Fainali za Kombe la Dunia la mwaka 2030 kuandaliwa katika ma . . .
Morocco, Uhispania na Ureno zimetajwa kuwa wenyeji wa Kombe la Dunia la soka mwaka 2030, huku Uruguay, Argentina na Paraguay wakiwa wenyeji wa mechi za ufunguzi kua . . .
Uongozi wa Klabu ya Arsenal umeanza mazungumzo rasmi na beki wake Ben White, ili kufanikisha mpango wa kumsainisha mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya Kaskazini . . .
Mwanasheria na mshauri wa Mshambuliaji Mohamed Salah amedokeza kuwa nyota huyo wa Liverpool anaweza kuwa anapata kiasi kikubwa mno cha mapato ya jumla kwa mujibu wa . . .
Hatimaye Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limeipa nafasi Afrika Mashariki kupitia nchi za Tanzania, Uganda na Kenya kuwa mwenyeji wa Fainali za Mataifa ya Afrik . . .
Mlinda Lango David de Gea anaweza kustaafu soka ikiwa hatapokea ofa ifaayo ya kurejea kwenye mchezo, huku akisisitiza kutokuwa tayari kwenda Ligi ya Saudi Arabia.Mhispani . . .
Mlinda Mlango wa Klabu ya Soka ya Simba, Aish Salum Manula ameonekana kuimarika zaidi baada ya kuwa nje ya Uwanja kwa Muda Mrefu kutokana na jeraha la lake.Kipa huyo ameo . . .
Mlinzi wa kushoto wa Yanga Joyce Lomalisa Mutambala anatarajiwa kuwa nje kwa wiki moja baada ya kupata majeraha kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo FcMchezo huo ul . . .
Bosi wa Tottenham Hotspur, Daniel Levy amesema wameweka kipengele cha kumrudisha Mshambuliaji, Harry Kane kwenye kikosi chao, endapo FC Bayern Munich itachoka huduma yake . . .
Mzozo kati ya timu ya soka ya wanawake ya Uhispania na Shirikisho la Soka la Kifalme la Uhispania (RFEF) unaonekana kufikia muafaka baada ya pande hiz . . .
Bayern Munich watakuwa wenyeji wa Manchester United siku ya Jumatano usiku katika kile ambacho kitaonekana kuwa na kizaazaa kwenye Uwanja wa Allianz Arena. Timu hiyo . . .
Uongozi wa Namungo FC umesema gari walilokuwa wanatumia mashabiki wa timu hiyo kutoka Ruangwa kuja Dar es Salaam kuishangilia timu yao ikicheza dhidi ya Yanga mechi ya Li . . .
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag, amelaumu timu zinazopandisha bei ya wachezaji kwenye soko la usajili wakati klabu hiyo ya Old Trafford inavutiwa.Ikiwa ni pamoja . . .
Wakala wa Kocha Mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp, Marc Kosicke amesisitiza kuwa kuwa mteja wake hataweza kuifundisha timu ya taifa ya Ujerumani licha ya jina lake kuwa mion . . .
Baada ya timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars’ kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2023), sasa inasubiri kuona itakuwa kundi gani na nani ikipangwa nazo kwa . . .
Kikosi cha Young Africans kinatarajia kuondoka nchini leo Alhamis (Septemba 14) kuelekea Rwanda kwa ajili ya kuwafuata Al Merrikh kutoka Sudan katika mechi ya kwanza ya h . . .
Kiungo wa Juventus, Mfaransa Paul Pogba, amesimamishwa kwa muda kucheza Soka, kutokana na kukutwa na hatia ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ambazo zimezuiliwa michez . . .
Uongozi wa Klabu Bingwa nchini England ‘Manchester City’, una mpango wa kumpatia ofa mpya staa wake, Erling Haaland ya mshahara wa pauni 600,000 kwa juma.Imeelezwa ku . . .
Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint- Germain Kylian Mbappe amesifiwa na mashabiki wa klabu hiyo kutokana na kiwango bora anachoendelea kuonyesha. . . .
Chelsea imethibitisha kumsajili mchezaji, Cole Palmer kutokea Manchester City.Kiungo huyo Mshambuliaji amejiunga na The Blues kwa dau la paundi milioni 42.5 kwa . . .
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameshinda tuzo ya Kocha bora kwa timu za Wanaume kwa msimu uliopita baada ya kuiwezesha timu yake kutwaa UbingwaAidha, Mshambuliaj . . .